[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfano wake kipo kule juu soma post zote utaona kuna comment nimemjibu mwenzako juu kuleMtoa mada Kama ndio Wewe kwenye Avatar nikiri tu natamani kuona Kitovu Chako tafadhari!!![emoji39]
Ume wabagua wanawake wenye vitambi vyao ambao ni 80% teh teh teh
Mtoa mada Kama ndio Wewe kwenye Avatar nikiri tu natamani kuona Kitovu Chako tafadhari!!![emoji39]
Cha kwako ni kipi kwanza?, afu umesema huwa hadi unapata hamu ya kukilalia kitovu cha mwanamke mwenzio?? Unakoelekea si kuzuri punguza kasi.
Afu hizo picha ni za flat tummies ama vitovu?, mbona hamna wenye vitambi hapo au hawana vitovu[emoji2369]
Acha hizo mkuu, hatuna honi za fuso sisi😀😀wenye vitambi wana honi za fuso sio kitovu[emoji23]