Mvuto wa kimapenzi

Mvuto wa kimapenzi

Bulichekah

Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
68
Reaction score
186
Katika tamaduni zote, Wanaume huvutiwa zaidi na mabinti kuliko wanawake watu wazima WAKATI wanawake huvutiwa sana na wanaume watu wazima. Kwahiyo uyaonapo hayo usishangae maana ndivyo ilivyo.
 
Wanaume tunavutiwa na kichuguu, wanawake wanavutiwa na shekeli.
 
Asante sana mkuu kwa kunifungua macho, sikujua awali,
Vipi kuhusu MVUTO WA KIBIASHARA Mr Mganga? tupe mchanganuo kidogo kwa utaalam wako huo.
 
utafiti wako hauna mantiki mkuu coz watu wazma wanaopendwa na wadada wabichi ni wenye mali pekee
 
utafiti wako hauna mantiki mkuu coz watu wazma wanaopendwa na wadada wabichi ni wenye mali pekee na viongozi wakidini
 
Ktk tamaduni zote, Wanaume huvutiwa zaidi na mabinti kuliko wanawake watu wazima WAKATI wanawake huvutiwa sana na wanaume watu wazima. Kwahyo uyaonapo hayo usishangae maana ndivyo ilivyo.

Kwa jamii ya sasa mwanamke huvutiwa sana na mwanaume mwenye hela haijarishi awe mzee kijana na mwanaume huvutiwa sana na mwanamke mwenye tako na mweupe
 
.
Ktk tamaduni zote, Wanaume huvutiwa zaidi na mabinti kuliko wanawake watu wazima WAKATI wanawake huvutiwa sana na wanaume watu wazima. Kwahyo uyaonapo hayo usishangae maana ndivyo ilivyo.
FB_IMG_1575779805273.jpeg
 
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ‎
 
Hii ni ligi ya mabingwa 'siwezi kushiriki huu mdaharo
 
Back
Top Bottom