Mvuto kwa mwanamke ni kweli?

Wema Sepetu na Jockate ni wazuri, Flaviana Matata ana mvuto sio mzuri kivile. Lisa Jensen ni mzuriiiiiiii mno, ila ajabu mvuto wake sio mkali kama Jockate na hali ni mzuri kuliko Jockate. umeona mamito? Ila sorry to say mimi ni mzuri mno na nina mvuto mno. hadi najionea huruma. teh teh



Ero ero hii post haina maana yeyote kama mtu asiposoma hapo kwenye red!! wajinyonge kwa bigijii sio, kam zis wei ero..................Ohooooooo nimekumbuka sikuwezi kha
 
BAK hivi hujawahi kusikia mtaani watu wanasema fulani ana damu ya kupendwa??simply because anapendwa na kila mtu sio kwa uzuri wake, wala umbo lake bali imetokea tu akawa kivutio cha wengi!mvuto is more about hisia,hauonekani wala haushikiki..wakati mwingine unaeza ona mtu ni wa kawaida sana lakini anavutia wengi kuliko yule anayeonekana mzuri..

Hilo lipo Purple...lakini je unazungumzia kupendwa kama alivyoandika gfsonwin (kupendwa kwa nia ya kufanya matusi)...unaweza kupendwa mtaani kwa heshima uliyokuwa nayo kwa wakubwa wako, kwa ukarimu, kwa kuwajali majirani zako n.k. lakini kupendwa huko kusihusiane kabisa na matamanio ya kufanya matusi.
 
Last edited by a moderator:
queen Latifa ana umbo zuri? Kwani hana mvuto?

Uzuri ni mjumuisho wa mpangalio wa umbo na sura ya mtu.

Mvuto ni mjumuisho wa uzuri na tabia.

Kwa kizungu si ndio kuna 'beauty' na 'sexy'?

Unaweza ukawa si mzuri sana wa sura na bado ukawa na mvuto, mwanamke mwenye kujiamini na akili anakuwa na mvuto zaidi.

Ndo maana kuna saa unamsikia mtu analalama 'beauty with no brain'
 
mh mie kwanza usoni, je ana mata*o makubwa? mguu vipi? akiwa mweupe inakuwa bomba zaidi, afu asiwe kuku wa kienyeji
 
Ngoja nisimame kwenye viatu vyangu halafu nikujibu: Kwanza ni vigumu kupata jibu linaloshikika kwa sababu moja nitakayoileza......

Ni hivi inatokea navutiwa na mwanamke fulani tumwite B kutokana na anavyo-behave (anaongea kwa adabu nazozipenda) lakini wakati huohuo sivutiwi na mwanamke X mwenye tabia hiyohiyo!!

Kuna mwanamke mwenye figure nzuri sana (ya bantu-nilotic) nayoipenda.. navutiwa naye lakini wakati huohuo nakutana na mwenye the same figure lakini anaongea hovyo...siwezi kuvutiwa naye n.k...Na hili siiamrishi ila ni nguvu toka ndani nsiyoweza kuizuia

Sasa inawezekana wenye hulka kama yangu wapo kwa hiyo sote tutaonekana tunavutiwa na aina hiyo ya mwanamke.....Ingawa watakuja wengine na mtazamo tofauti kabisa, na wao wana wanaofanana nao.

Muhimu kumbuka mvuto hauanzii nje ya mtu ..inaaanzia ndani ya 'moyo' ni hisia ambazo huwezi kuzitengeneza bali zinajijenga!

haya platozoom sasa hapa tunakwenda sawa kwamba mvuto huleta hisia na hzi huweza kuwa common ama siyo common. lakin mfano wewe ukikutana na mwanamke mwenye mvuto say kama mimi gfsonwin halafu mvuto wake uko kwenye manners zaid like ninavyoongea( sauti), kula, kuangalia nk ila kwa umbo na sura ukakutana na Erotica mwenye umbo la kilatino ambalo ukilivutia hisia kwa bed ni tamu kuliko hili la gfsonwin ambalo ni la kibantu zaid. je hapo wewe binafsi utavutiwa na yupi?
 
Last edited by a moderator:
Wema Sepetu na Jockate ni wazuri, Flaviana Matata ana mvuto sio mzuri kivile.

Lisa Jensen ni mzuriiiiiiii mno, ila ajabu mvuto wake sio mkali kama

Jockate na hali ni mzuri kuliko Jockate. umeona mamito?

Ila sorry to say mimi ni mzuri mno na nina mvuto mno. hadi najionea huruma. teh teh
Erotica mimi basi sijui nikoje to me wema siyo mzuri kama jokate ila she is worthy sexy than Jokate. na ndio maana she can draw mens attention than lakin pia jackline wolper ni mzuri sana sana but hana mvuto kama alivyo fideline Iranga. tuachanae nao hao turudi kwenye point ya msingi sasa hapa hivi mwanamke aweza kutengeneza mvuto?
 
Last edited by a moderator:
kusema kweli hata mie hua najiuliza sana hili swali, sidhani kama mvuto unaonekana?!?bali mvuto unahisiwa (utanisahihisha if am wrong)yani ukimuona mtu unajihisi kuvutiwa nae sometimes bila hata kujua sababu..

hata miye huwa sipati picha ya mvuto hukaa wapi ila kwangu mimi kwa mkaka mvuto wake kwangu pasi hata kusema ni lile umbo la kikaka ambalo mapombe hayajaliharibu na mazoezi yamelishape lakin siyo kama box
 
Mi nafikiri wanafata 'kidude' tu. Kama mpaka chizi mwanamke anazalishwa, ni nini tena hapo?

kwani Catherine siku ya kwanza unakutana na BAK bila kujua hata kama anauwezo wa kukusatisfy kwa bed lakin he looks men enough hapo atakuvutia kwasababu gani?
 
Last edited by a moderator:
haya platozoom sasa hapa tunakwenda sawa kwamba mvuto huleta hisia na hzi huweza kuwa common ama siyo common. lakin mfano wewe ukikutana na mwanamke mwenye mvuto say kama mimi gfsonwin halafu mvuto wake uko kwenye manners zaid like ninavyoongea( sauti), kula, kuangalia nk ila kwa umbo na sura ukakutana na Erotica mwenye umbo la kilatino ambalo ukilivutia hisia kwa bed ni tamu kuliko hili la gfsonwin ambalo ni la kibantu zaid. je hapo wewe binafsi utavutiwa na yupi?


Kwanza nimecheka sana hapo kwenye ulinganisho wa Erotica mlatino na gfsonwin mbantu! Haya tuendelee...kama nilivyosema awali mvuto mara nyingi hutokana na nguvu ya ndani ambayo wakati mwingine haizuiliki ipo tu hata kama naweza kuwaambia watu kwamba napenda figure la kibantu (kwa macho) au tabia (hisia ya ndani) bado yategemea mwanamke aliyesimama mbele yangu kama ataisukuma ile nguvu ya ndani nisiyoweza kuizuia.

Lakini hapo pia lazima tutofautishe tamaa ya ngono na mvuto.........kama kwa ngono mbona ni rahisi kukwambia kwamba mimi nakufa kwa mbantu gfsonwin............Lakini inapofika kwenye mvuto inakuwa complicated.............nitasema kwa urahisi "napenda mwenye manners a,b,c" au figure namba 8" lakini nakuhakikishia mpaka nitakapomuona ndipo naweza kukwambia "ehee huyu ananivutia".

Mwisho: Usimuulize hezbend wako hili swali!!!
 
Last edited by a moderator:
Wapenzi wana mmu habari za week end?
Jamani leo nimekuja na hili hapa nimelipata mitaa ya kati nikaona nililete hapa tujadili pamoja.

Hivi jamani kuna mwanamke mwenye mvuto tu ambaye kila mwanaume rijali akimuona huvutiwa kumsemesha? je mvuto huu hupelekea kuwasha tamaa ya kufanya matusi na mwanamke husika? Je mvuto huu kwenu wakaka huwa unaangalia vitu gani kwa muonekano wa mara ya kwanza?

Aaaha dada yangu gfsonwin naona aibu kuchangia hapo kwa red.
Ngoja nisome comments za wengine kwanza
 
kwani Catherine siku ya kwanza unakutana na BAK bila kujua hata kama anauwezo wa kukusatisfy kwa bed lakin he looks men enough hapo atakuvutia kwasababu gani?

lol! wee una hatari sana...nimeshakuwa target yako...majina yote hapa JF hukuyaona au hata ya kusadikika ila ukaliona la BAK tu!!! Haya bana "liwalo na liwe"...nisalimie kichanga.



 
Last edited by a moderator:
Umbo (kwa upande wangu ni lazima liwe la kiafrika kiasi fulani sipendi mtu aliyekondeana), sura (si lazima iwe exceptional lakini to the standard), kimo (cha kisukuma au kinyakyusa hivi, dont like short chasis like many makondes-hapa simaanishi ukabila bali ni mifano tu), reaction (sipendi mwanamke anayeongea saana all the time yeye tuu....) pamoja na tabia zenye utulivu na usikivu. Hii inamaanisha kuwa kila mtu anavutiwa na vitu tofauti. Its not something common to all, or say there are no crosscutting criteria to this.
 
gfsonwin hapa kuna mambo makubwa mawili
1) Mwanaume anaanza kupenda kwa kuona. Anapokuwa anamuangalia mwanamke for the first time,mara nyingi huwa ana-concentrate zaidi zile qualities anazozipenda yeye kama vile figure, reception, miguu, miondoko n.k kama walivyosema wachangiaji waliotangulia. Kwa kuzingatia hili ndo maana ndg zetu wa kiislamu hawataki wanawake wavae mavazi yanayochoresha au kuonyesha maungo yao. Wanaamini yatawatamanisha wanaume, which is 100% true

2) Akisharidhika kwa macho anaanza kutamani kisha ndo sasa anaanza kuangalia qualities zingine ambazo mara nyingi atazigundua baada ya kumu-approach for the first time, kuambiwa au kadri atakavyoendelea kuwa naye karibu na mwanamke husika.

Kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu, combination ya hivi vyote ndo vinafanya mwanamke fulani awe na mvuto kwa mwanaume wengi
 
Tricky...........Inatokea tu gfsonwin....wala haina formula maalum nakwambia:

1. Anaweza kuwa mwanamke mwenye sura nzuri (usoni)

2. Anaweza kuwa na umbo zuri (la kibantu) au 8 figure.......na nikwambie wengi wanapenda (soma kutamani) maumbo
hayo..kuna fikra kuwa anafaa kwenye matusi

3. Mwenye sura ya kawaida kabisa ila ana adabu na hana mahusiano na mwanaume yeyote..wengi huvutiwa naye kila mmoja akitamani kuanza yeye...kuna mvuto kama wa sumaku hapa na tafrani lake si kidogo.

4. Kuna wanaume waharibifu ambao ni wengi sana zama hizi usione wanamfuatilia fulani, ni kwa sababu hawajampitia..kwa hiyo kwa haraka unaweza kudhani anapendwa sana.

5. Mwingine ana mvuto tu hakuna maelezo ya uhakika kwa nini anavutia watu...........anapendwa tu, na wengi wanamtamani hata ukiwauliza hawakupi sababu ya msingi kama ambavyo mzazi anampenda mtoto wake fulani hata kama ana tabia mbaya sana.

Kwa hiyo wanawake wenye mvuto wasipokuwa makini wanaweza kuwa at big risk ya kuwa door mat?
 
Japo watu wengi wamechangia lakini nahisi hujapata jibu,
and of coz hili suala linachanganya na mi nna imani umeumiza
sana kichwa kuhusu hili.

I think ni vigumu kutofautisha mvuto na tamaa ya kufanya ngono
kwa mara ya kwanza unapomuona msichana. Mwanaume akikiri
kwamba msichana ni mzuri si lazima wado ila akisema mdada ana
mvuto hapo lazima kuna kitu kinafuata. Mvuto ni uhalalishaji wa kufanya
ngono, na kila mwanaume ana vitu vyake ambavyo huwa vinamchanganya.

Mvuto kwa asilimia kubwa ni muonekano wa nje wa mdada, ambao
hupeleka hisia za mwanaume kufanya tendo la ngono, kwa nn!
Mvuto upo siku ya kwanza tu ya kumuona huyo mwanamke baada
ya hapo huwa ni hisia ndio zinatawala. Ukishafanikiwa kuvutika
na uka do naye, basi ukiwa na hamu tu hisia zako ni kwake hapo
given amekufurahisha!

Si kila msichana mzuri ana mvuto bali ana mvuto kwa wale
wanaopenda uzuri wake kama kigezo cha haja, na si kila msichana
mwenye mvuto ni mzuri bali pia ni mzuri kwa wale wanaovutika nae sana.
Kwa kuwa wanasema uzuri mtu upo machoni pa mtu, kila mtu ana sifa zake.
 
Tricky...........
5. Mwingine ana mvuto tu hakuna maelezo ya uhakika kwa nini anavutia watu...........anapendwa tu, na wengi wanamtamani hata ukiwauliza hawakupi sababu ya msingi .

yes, hadi kufikia kugombaniwa na wanaume. Ila kiukweli, huyo mwanamke anakuwa na kitu kinachowavutia wanaume i.e anadeal na issues sio watu, anawazidi kitu wanaume (akili, pesa, cheo)
 
kuna mwanamke mwenye mvuto tu ambaye kila mwanaume rijali akimuona huvutiwa kumsemesha? je mvuto huu hupelekea kuwasha tamaa ya kufanya matusi na mwanamke husika? Je mvuto huu kwenu wakaka huwa unaangalia vitu gani kwa muonekano wa mara ya kwanza?

very interesting line of thought: mwanamke ana MVUTO ~> kila mwanaume RIJALi anavutiwa kumsemesha ~> hii inawasha tamaa ya KUFANYA MATUSI ndani ya mwanaume; bottomline: MVUTO+URIJALI => TAMAA YA MATUSI

dada MENTION=80923]gfsonwin[/MENTION] hili swali lako ni pana sana and, at any rate, you are are bound to have a million answers kutegemea mtu analiangalia kutoka angle ipi...

kwa mfano dhana ya 'mvuto' wa mwanamke peke yake ni relative... wanaume tofauti wanavutiwa na vitu tofauti kwa wanawake... linapokuja suala la tamaa ya kufanya matusi, mwanaume 'rijali' kama unavyomwita ata-focus kupata picha ya jinsi 'assets' alizojaliwa huyo mwanamke (wapenzi wa t^Go watakubaliana na hili 100% teh teh teh) zinaweza kutumika kukidhi haja za huyo mwanaume kingono...

kwa mtazamo wangu, tumeangalia hili suala kwa kuchukulia 'basic instincts' zaidi (one-night-stand kinda thing)...katika hali ya kawaida, na as a preliminary stage, unaweza kuvutiwa na mwamamke kwa sababu ana physical features, standard of behaviour, reasoning capacity etc unazotamani mwanamke awe nazo...
 
Umenikumbusha,jana tu nilikutana na dada mmoja,wacha kabisa.Yaani niliduwaa utadhani wale waliokua wanachorwa kwenye yale majarida ya enzi zileeee,majarida ya Bongo!
 
kwani Catherine siku ya kwanza unakutana na BAK bila kujua hata kama anauwezo wa kukusatisfy kwa bed lakin he looks men enough hapo atakuvutia kwasababu gani?

ceteris paribus, BAK akiwa black ule ublack wa kung'aa, mrefu zaidi yangu halafu sio bonge nyanya hapo nitadata mtoto wa kike.
Mi nafikiri kama ambavyo uzuri wa mtu upo machoni pa mtu na mvuto ni hivo hivo. Nakubaliana na waliosema mvuto upo kihisia ingawa uzuri wa mtu pia upelekea awe na mvuto.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom