Mvuto kwa mwanamke ni kweli?

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,274
20,673
Wapenzi wana mmu habari za week end?
Jamani leo nimekuja na hili hapa nimelipata mitaa ya kati nikaona nililete hapa tujadili pamoja.

Hivi jamani kuna mwanamke mwenye mvuto tu ambaye kila mwanaume rijali akimuona huvutiwa kumsemesha? je mvuto huu hupelekea kuwasha tamaa ya kufanya matusi na mwanamke husika? Je mvuto huu kwenu wakaka huwa unaangalia vitu gani kwa muonekano wa mara ya kwanza?
 
Kweli kabisa, kuna wanawake wanamvuto kabisa ,kila mwnaume ana tamani kuwa nae! Sikuwa nae tu bali ata kufanya nae mapenzi.

Unajua kila mtu ana vigezo vyako kwangu mimi ni reception kwanza na umbo!

Ila mchezo mbaya sipendi!
 
kwani Ruta huu mvuto umekaa kwenye nini? je nikujipamba ama ni umbo ama ni sauti ama nitabasamu ama ni nini hasa? na je kitu hicho kinchomvutia mwanaume mmoja chaweza kumvutia na mwingine? na je mvuto huu hunogesha mchezo au la?
 
Kuna wanawake ni wazuri banaa ukiangalia sura, umbo la kukata na shoka, miguu iliyoshiba na wowowo la hali ya juu. Akiwa anatembea basi utapenda aendelee kutembea tu huku ukiendelea kuadmire kazi ya Muumba wetu, halafu kama anajua miondoko ya madaha basi ndio unabaki hoi bin taabani.

Last edited by a moderator:
Tricky...........Inatokea tu gfsonwin....wala haina formula maalum nakwambia:

1. Anaweza kuwa mwanamke mwenye sura nzuri (usoni)

2. Anaweza kuwa na umbo zuri (la kibantu) au 8 figure.......na nikwambie wengi wanapenda (soma kutamani) maumbo
hayo..kuna fikra kuwa anafaa kwenye matusi

3. Mwenye sura ya kawaida kabisa ila ana adabu na hana mahusiano na mwanaume yeyote..wengi huvutiwa naye kila mmoja akitamani kuanza yeye...kuna mvuto kama wa sumaku hapa na tafrani lake si kidogo.

4. Kuna wanaume waharibifu ambao ni wengi sana zama hizi usione wanamfuatilia fulani, ni kwa sababu hawajampitia..kwa hiyo kwa haraka unaweza kudhani anapendwa sana.

5. Mwingine ana mvuto tu hakuna maelezo ya uhakika kwa nini anavutia watu...........anapendwa tu, na wengi wanamtamani hata ukiwauliza hawakupi sababu ya msingi kama ambavyo mzazi anampenda mtoto wake fulani hata kama ana tabia mbaya sana.
 
BAK sasa hapa ndipo ninapopata swali jingine tena hivi kwani mvuto ni uzuri?
 
platozoom hii ya kwako sasa inachanganya kaka kwani uzuri wa mtu ndio mvuto wake? na je kwani kinachomshawishi mtu kutongoza ni mvuto?
 
Last edited by a moderator:
SuperStock_1525R-104235.jpg

gfsonwin umemuona huyu dada? sio mzuri sana, ila ana mvuto na anatia raha kumuangalia,

acha tu wanaume, hata mimi mwanamke mwenzie natamani ni dou nae licha ya kumtazama tu.

haijalishi mvuto ama uzuri ni wakununua or not. wat matters ni kuwa ana mvuto. na kama ana

mvuto wa kutosheleza na mwanaume rijali akamtazama machoni he wishes apate nafai ya kuonja K,

sio lazima kuishi nae, yaani mradi agusishe na aondoke zake. kama vile kupoza kiu ya maji.
 
mmh! Erotica huyu anavutia kwasababu yuko uchi with that porn style au? manake mimi binafsi mathalani nikikutana na mwanaume rijali chumbani kakaa pozi fulani la kimatusi naweza kuvutika kufanya matusi nae lakin mwanaume hiyo pengine nikikutana naye nje wala hata salam yake nisiipokee kwamba hanamvuto.
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin;
Law of Relativity.
If you sit with a nice girl for two hours, you think its only a minute. But when you sit on a hot stove for a second you think its two hours. Hisia ni kitu cha ajabu sana huwezi eleza kwa maandiko. Kama wengine wakiangalia kinyago wanaona uzuri ambao wengine hawauoni.
 
platozoom hii ya kwako sasa inachanganya kaka kwani uzuri wa mtu ndio mvuto wake? na je kwani kinachomshawishi mtu kutongoza ni mvuto?

Yap ina mchango mkubwa sana...Ila pia nimeeleza uzuri ni sehemu pia inayochangia ingawa kuna sababu nyingine zinazochangia toka mtu mmoja mpaka mwingine.

Kwa hiyo hatuwezi kusema huyu anatongozwa na wanaume kwa sababu ana sifa zote hapo juu........Kuna wengine wanavutiwa na bantu figure, wengine sura nzuri n.k...........Na kuna wadada wengine basi tu ni mvuto kila mmoja anamtaka ukiwauliza kwa nini hakuna majibu yanayofanana.

Ngoja nigeuze hivi pia ..ushasikia mwanamke anayeburuzwa na kila mtu (umalaya sio wa biashara) na kila mtu anakwambia huyo akikutaa kaoge maji ya bahari...............Lakini anatokea jamaa anayejiheshimu anaomba mchezo ana anakataliwa!!
 
gfsonwin;
Law of Relativity.
If you sit with a nice girl for two hours, you think its only a minute. But when you sit on a hot stove for a second you think its two hours. Hisia ni kitu cha ajabu sana huwezi eleza kwa maandiko. Kama wengine wakiangalia kinyago wanaona uzuri ambao wengine hawauoni.

mkuu umesema vizuri sana lakini hapa naongelea kitu ambacho ni seen, kweli mvuto kwa mwanamke upo?
 
Hata kwa wanaume kuna ambao wana mvuto na wakati mwingine sio lazima mtu awe mzuri hua inatokea tu! Tena utasikia wengine wanasema mtu fulani ana damu ya kupendwa! Unaweza kuta hana umbo zuri wala sura nzuri but the way anavyointeract na watu inafanya amvutie kila mtu!
 
Back
Top Bottom