Mvutano waanza baina ya Uturuki na Russia kuhusu Syria

Sawa kama Ishu Sio Memba Wa NATO Imekaaje Kwa TURKEY Ambae ni NATO Memba Alipo nunua s300 kutoka RUSSIA

Haya Ikawaje Baada Ya UK Kudai Kwamba MOSCOW Ilitaka Kumuua Jasusi wao kwa kumpa sumu katika ardhi ya UK

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu huyo jasusi mstaafu wa Russia kuuliwa UK ni challenge za kawaida sana, kwani NATO anavyokiuka mikataba ya hapo awali na Soviet Union ambapo waliahidi kama Soviet Union ikizipa nchi za ukanda huo uhuru basi hawata zi recruit NATO

kitu ambacho nchi karibia zote za eastern block ambazo zipikuwa part ya Soviet Union zimepewa hiyo membership, Yeye Russia amefanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uturuki siyo nchi ya kuimock kama hivyo unavyonadi maana historia inajieleza yenyewe

Angalia historian yao au uchumi wao utagundua kuwa siyo mshirika ambae Russia anataka kumpoteza kwa muda huu kwa ajili ya warabu wa Syria

Kabla ya US na GB kuwa superpowers basis kulikuwa na Ottoman Empire kuanzia Europe ya sasa, Asia hadi Afrika kote ilitawala

Situation aliyokuwana Erdogan saivi ni kama ya Kikwete kipindi cha nyuma huko Rwanda ambapo Kagame hataki kuongea na waasi huku wakimbizi wanazidi miminika kwenda nchi jirani

Mkumbuke tu wale mnao waita waasi huko Syria ni raia halali wa nchi hiyo ila walikuwa na mitizamo tofauti na serikali

Swali lakujiuliza ni kwanini raia wa Syria bado wanakimbilia kwenye trapped Idlib na wasirudi miji mingine ya karibu kama Aleppo ambayo imeshakombolewa na serikal?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumba
 
Kwao Inakua Kawaida Ila Kwa RUSSIA Inakua Sio Kawaida!?
Kuhusu huyo jasusi mstaafu wa Russia kuuliwa UK ni challenge za kawaida sana, kwani NATO anavyokiuka mikataba ya hapo awali na Soviet Union ambapo waliahidi kama Soviet Union ikizipa nchi za ukanda huo uhuru basi hawata zi recruit NATO

kitu ambacho nchi karibia zote za eastern block ambazo zipikuwa part ya Soviet Union zimepewa hiyo membership, Yeye Russia amefanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ama !????...
Hio ishu yakawaida maana wanafanya kwa memba wenzao ila RUSSIA Anafanya kwamemba wao na wana ufyata

Kwan US Kafanya Nn Pale VENEZUELA Baada Ya RUSSIA Kupeleka Yule Kunguru Wake Mweupe ?!?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna anaeidogosha TURKEY Kama Unavyodai
Uturuki siyo nchi ya kuimock kama hivyo unavyonadi maana historia inajieleza yenyewe

Angalia historian yao au uchumi wao utagundua kuwa siyo mshirika ambae Russia anataka kumpoteza kwa muda huu kwa ajili ya warabu wa Syria

Kabla ya US na GB kuwa superpowers basis kulikuwa na Ottoman Empire kuanzia Europe ya sasa, Asia hadi Afrika kote ilitawala

Situation aliyokuwana Erdogan saivi ni kama ya Kikwete kipindi cha nyuma huko Rwanda ambapo Kagame hataki kuongea na waasi huku wakimbizi wanazidi miminika kwenda nchi jirani

Mkumbuke tu wale mnao waita waasi huko Syria ni raia halali wa nchi hiyo ila walikuwa na mitizamo tofauti na serikali

Swali lakujiuliza ni kwanini raia wa Syria bado wanakimbilia kwenye trapped Idlib na wasirudi miji mingine ya karibu kama Aleppo ambayo imeshakombolewa na serikal?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kwasasa kwazamani na namna hali ilioko pale katika eneo lamashariki yakati Nibora RUSSIA Apoteze Ushirikiano Na TURKEY Ila Sio SYRIA Maana SYRIA Nitayati Kaisha Prove Toka Zamani Yakwamba Nimshirika Sio Muhimu Tu Kwa RUSSIA Bali Pia Wakuaminika Toka Enzi Na Enzi Toka Al Assad Mkubwa Mpaka Huyu

Huyu Huyu RUSSIA Kumbuka Toka Mwanzo Alipo Ona Hali Inaelekea Kumuendea Kombo Mshirika Wake Wamuda Mrefu Akaenda Kumpiga Jeki Mpaka sasa kwa Al ASSAD Hakuna Tena Kitisho Chakuondoshwa Madarakani Kama Ilivyokua Awali

Kwanamna Mahusiano Ya MOSCOW na DAMASCUS Yalivyo Kina PUTIN Wanaona Bora Waachane Na ANKARA Ila Sio DAMASCUS Kwanza ANKARA Wapuuzi Hawa Aminiki Angalia Wanavyo Wahenyesha Nato Wenzao

Mwisho Kwa Sasa Uturuki Kwel Ipo Sawa Ukilinganisha Na Zamani Ila Sikisiasa Kijeshi Wala Kiuchumi Wanaweza Wakaitisha RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom