Mvutano ndani ya CCM ni kati ya wenye 'Nguvu ya dola' na wenye 'Akili ya dola'

Hapo ndio itakapojulikana kati ya kutumia akili ,hekima na busara na mikurupuko ,jazba ,sifa ,mabavu nani zaidi ?
 
Vipi na upande wa chadema ,wako salama ?,
Ndani ya Chama cha Mapinduzi kumejitokeza kuwa na makundi mawili, kuna watu wanategemea nguvu ya dola kuendesha nchi na kuna wengine wana akili ya kuongoza dola ambao pengine wapo pembezoni au tuseme wamekuwa kama watazamaji.

Siku za hivi karibuni tumeshuhudia majibishano kati ya bingwa la mipango Rostam Aziz na Mzee wa Mtama Bernard Membe. Suala zima likiwa ni mteule wa CCM 2020. Wenye dola wameamua kumtumia Rostam kupambana na Timu Membe ambayo inaonekana kutumia akili kubwa kuisaka ikulu.

Kwa tunaomjua Rostam siyo mtu wa kuongea yeye ni underground fighter, mpaka Rostam kunyanyua mdomo lazima kuna kitu kikubwa ambacho si cha kubezwa. Haiwezekani ikawa bahati mbaya kwamba kaamua tu kumwongelea Membe na 2020. Naye Mzee wa Mtama hakukawia kujibu kauli ya Rostam. Bila shaka aliguswa kwenye mfupa au kulikuwa na ukweli ndani yake. Ilitokea kwa Edo na JK 2010. Edo ‘alitaka’ kukatisha pozi la JK Magogoni, ilikuwa ngumu sana kupindua meza ya Mzee wa Msoga.

Kwa JK angalau tunaweza kusema ilikuwa rahisi kidogo pengine kutokana na namna alivyoongoza kila mtu akadhani anaweza kuwa rais.

CCM ya wakati ule ilikuwa kama bwawa la kambare kila mtu alikuwa na ndevu. Sote tunakumbuka fujo za Nchimbi, Mwigulu, January, Adam Kimbisa, Sophia Simba, Makongoro pale Dodoma akitangazwa mteule wa CCM, ni matokeo ya JK kuwaachia wachukulie poa. Lakini ‘CCM mpya’ chini ya Mkiti wake Magufuli iko tofauti sana inahitaji ujasiri wa kijasiri kuikabili.

Pamoja na uongozi wa awamu hii kuonekana tofauti na uongozi wa mzee wa Msoga pamoja na vitisho vyote bado kuna watu wana ujasiri wa kujitokeza kuwania kiti kilichokaliwa na mtu anayeonekana kutisha kuliko mtangulizi wake.

Watu aina ya Mzee Mtama tusiwachukulie poa maana hadi wanatajwa huenda kuna jambo na mipango waliyo na uhakika nayo. Na binadamu aina ya Mzee wa Mtama huwezi kutabiri awazacho unahitaji akili ya ziada. Ni suala la muda maana ni vita ya nguvu ya dola na akili ya dola.
 
Baada ya kuuwa upinzani haitabaki kuwa rahisi....itabidi upinxani huu utokee ndani...binadam kummudu ni kazi sana
 
Hata kama kuna mvutano kama unavyodai lakini mimi naona kwenye upinzani kuna hali mbaya zaidi. Umesikia leo kuwa Chadema wanataka kufukuza wabunge 7? Inaonekana ''waasi'' hawaishi ndani ya upinzani bali kadiri wanavyofukuzwa, ndivyo wanazidi ''kuzaliana''. Nia ya kuandika haya ni kutoa tahadhari kwa watu wenye kutegemea CCM ijiangushe yenyewe ili upinzani ufaidi kuwa ni kama kusubiri kushinda bahati nasibu... badala ya kufanya kazi.
Sidhani kama umesoma mada ukaelewa vzr! soma upya ndio utaelewa.
 
Naona mleta mada kama kawa yupo na mtambo wake wa unafiki na habari za kusadikika ambazo hazina chanzo..

Nyinyi endeleni kupika uzushii..wakati mwisho wenu ni 2020..
 
Ndani ya Chama cha Mapinduzi kumejitokeza kuwa na makundi mawili, kuna watu wanategemea nguvu ya dola kuendesha nchi na kuna wengine wana akili ya kuongoza dola ambao pengine wapo pembezoni au tuseme wamekuwa kama watazamaji.

Siku za hivi karibuni tumeshuhudia majibishano kati ya bingwa la mipango Rostam Aziz na Mzee wa Mtama Bernard Membe. Suala zima likiwa ni mteule wa CCM 2020. Wenye dola wameamua kumtumia Rostam kupambana na Timu Membe ambayo inaonekana kutumia akili kubwa kuisaka ikulu.

Kwa tunaomjua Rostam siyo mtu wa kuongea yeye ni underground fighter, mpaka Rostam kunyanyua mdomo lazima kuna kitu kikubwa ambacho si cha kubezwa. Haiwezekani ikawa bahati mbaya kwamba kaamua tu kumwongelea Membe na 2020. Naye Mzee wa Mtama hakukawia kujibu kauli ya Rostam. Bila shaka aliguswa kwenye mfupa au kulikuwa na ukweli ndani yake. Ilitokea kwa Edo na JK 2010. Edo ‘alitaka’ kukatisha pozi la JK Magogoni, ilikuwa ngumu sana kupindua meza ya Mzee wa Msoga.

Kwa JK angalau tunaweza kusema ilikuwa rahisi kidogo pengine kutokana na namna alivyoongoza kila mtu akadhani anaweza kuwa rais.

CCM ya wakati ule ilikuwa kama bwawa la kambare kila mtu alikuwa na ndevu. Sote tunakumbuka fujo za Nchimbi, Mwigulu, January, Adam Kimbisa, Sophia Simba, Makongoro pale Dodoma akitangazwa mteule wa CCM, ni matokeo ya JK kuwaachia wachukulie poa. Lakini ‘CCM mpya’ chini ya Mkiti wake Magufuli iko tofauti sana inahitaji ujasiri wa kijasiri kuikabili.

Pamoja na uongozi wa awamu hii kuonekana tofauti na uongozi wa mzee wa Msoga pamoja na vitisho vyote bado kuna watu wana ujasiri wa kujitokeza kuwania kiti kilichokaliwa na mtu anayeonekana kutisha kuliko mtangulizi wake.

Watu aina ya Mzee Mtama tusiwachukulie poa maana hadi wanatajwa huenda kuna jambo na mipango waliyo na uhakika nayo. Na binadamu aina ya Mzee wa Mtama huwezi kutabiri awazacho unahitaji akili ya ziada. Ni suala la muda maana ni vita ya nguvu ya dola na akili ya dola.

Yote hio ni michezo yao labda kama uwajui ccm watakuchezea tikitaka hadi kuwatoa kafala wengine ili kujifanya wapo pamoja Na wananchi ili kuwahadaa kwenye uchaguzi wananchi watakuja kuelewa wakiwa washaliwa kichwa,
 
HAMNA KITU... MEMBE HANA LOLOTE MNAJITAHIDI TU KUMPAZA... Hamna mvutano wala nini Membe WILL NEVER BE A PRESIDENT IN THIS COUNTRY MAGUFULI AKIWEPO. IKITOKEA MIMI NITAHAMA NCHI.

Back
Top Bottom