AMvuta Bangi karejea nyumbani kwake Usiku, akamkuta mke wake kalala na Chupi yenye Ki-mkanda tu kwa nyuma (Bikini), jamaa akaanza kucheka mpaka mke wake akaamka na akamuuliza, unacheka nini? Jamaa akamjibu, ni mara yangu ya kwanza kuona ****** yamevaa Kandambili!

Bangi babaaaaa!!!!!!!!! Haaaaaaaaaah hii kali, wavuta bangi mpo?Mvuta Bangi bwana akaomba pikipiki ya rafiki yake, ilikuwa majira ya usiku akaamua aelekee maeneo yanayoitwa Soweto huko Moshi kupitia barabara ya kwenda Arusha. Mbele kulikuwa na gari linakuja; Bangi za jamaa zikamponza, yeye baada ya kuona taa mbili za lile gari akafikiri ni pikipiki mbili zinakuja mbele yake, hivyo akaona apite katikati ya zile pikipiki, matokeo yake yakawa kifo. Bangi bwana sio nzuri!!!
Bangi nibangue!!!!
Duh itabidi nijaribu vuta nione raha yake
Duh itabidi nijaribu vuta nione raha yake
Usiombe ukutane na kitu cha arusha!!!!!!!
Duh itabidi nijaribu vuta nione raha yake