That was before then...!!!Unajua bila picha hainogi
View attachment 1554743
Hiyo picha ni ya bahima empire almost there...That was before then...!!!
Binafsi Babu zangu wametokea Rwanda, na nimebahatika kufanya kazi Rwanda kule ziwa KIVU katika miradi wa kuzalisha umeme wa GESI ya METHANE nimefanya kazi kwa siku 87 hii jamii ya ipo Smart sana na ukweli nikuwa Rwanda imefanya wizi mkubwa wa madini kutoka Congo.Nimetumia neno redio mbao kwakuwa haikuwahi kuthibitishwa popote
Hao sio maadui wana lao jambo ndugu wa damu hawawezi kugombana wana target yao hio ni danganya toto tuThat was before then...!!!
Kumbe wanazuga tuHao sio maadui wana lao jambo ndugu wa damu hawawezi kugombana wana target yao hio ni danganya toto tu
Hakuna kiongozi anaeongoza kwa taabu kama huyu wa kwetu! kwanza halali mafile yamemzidi hata akilala anaota wanataka kumpindua na anaumia zaidi pale raia hawamwelewi wao wana mpiga spana tu. Ni kama anakimbiza upepo tu.
Binafsi Babu zangu wametokea Rwanda, na nimebahatika kufanya kazi Rwanda kule ziwa KIVU katika miradi wa kuzalisha umeme wa GESI ya METHANE nimefanya kazi kwa siku 87 hii jamii ya ipo Smart sana na ukweli nikuwa Rwanda imefanya wizi mkubwa wa madini kutoka Congo.
Bahati nzuri ni kuwa wao wanaiba wanafanya maendeleo makubwa kujenga nchi yao sisi tunachimba ya kwetu hatuna faida nayo wanabeba mabwenyenye na kugawana na mafisadi.
Tuna la kujifunza kutoka kwa bahma (Tutsi) maana bahma ndio imefanya ustaarabu wa East Afrika imeleta challenge katika Elimu ndio maana KAGERA ndio mlango wa ELIMU ya TANZANIA ukitaja ustaarabu wa Tanzania bila KAGERA bado haujakuwa sahihi hata HAYATI BABA WA TAIFA (MZANAKI) NI JAMII YA BAHMA
Hapa tunapata kuwa ustaarabu wa Afrika unatokana na Bahma maana BABA WA TAIFA (J.KAMBARAGE) amechangia pakubwa katika ustaarabu wa Afrika na ni damu ya Bahma.
Yule tumebaki naye kwasababu anamuhofia kagame na Museveni anatufanya kama ngao yake.Rafiki yetu aliyebaki ni yule mrithi wa Nkurunzizah