Mvulana wa miaka sita achinjwa mbele ya mamake wakienda kuhiji huko Saudi Arabia kisa ni Shia

Dogo acha porojo fanya kazi.

Tumia kipaji chako na elimu yako ya juu uliyojaliwa kuleta tija kwenye jamii.

Fanya kazi
 
Bavicha waliilaumu serikali nzima kwa mauaji aliyotenda DED na wenzake
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bavicha waliilaumu serikali nzima kwa mauaji aliyotenda DED na wenzake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa jaama baadhi ni wabaguzi wa kipuuzi, unaweza kuta mweusi mwenzako anakukashifu wewe kafiri na kumuona mwarabu kama nduguye (kisa dini) ila akipatwa na shida anataka ww kafiri uwe wa kwanza kumsaidia
Mwarabu na uislam ni vitu viwili tofauti
 
Kama ni taahira Kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Dah!Wamemkashoggi mtoto wa watu bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…