Nafikiri wengi wao hawaelewi maana yake kwa sababu ama hawakuwepo wakati huo au walikuwa wadogo sana yaani umri wa chekechea! Naomba Mungu isijirudie tena ile mvua!Mnaelewa maana ya "Elnino" au mlikuwa hamjazaliwa miaka ya 1998?
Wanawake mnapenda sana kulowaMi mwenyewe nimelowa sana Leo wakati wa kurudi home...mvua gani haisikii hata mwamvuli....imeharibu mwamvuli wangu umegeuka juu kwa upepo mkali....kesho siendi kazini😖
Ukienda hospital watoto wengi wanaumwa nadhani ni vichomi au mafuaIla ni kweli kwa hizi mvua, ilitakiwa shule za Msingi na Sec wasimamishe masomo, hali ni mbayaa sana,
Watoto wanapata adha kubwa mnoo njiani.
Haswaa yaanUkienda hospital watoto wengi wanaumwa nadhani ni vichomi au mafua
Utaenda tu huko kazini si una li honey lako litakuita likakununulie vitumbua na bajia mji mwaemwae...
Ndo mawazo yako yalipoishia hapo tyuuh.Yaani mvua ya siku moja tu shule zifungwe? Nyie watu wa dar mnawalea watoto kimayai sana na ndio maana siku hizi na wa kiume wanashikishwa ukuta (wanagegedwa).
😂😂😂😂wee,sema kweli?Wanawake mnapenda sana kulowa
Kautafiti kangu kanaonyesha hivyo na nimejiridhisha 🤣😂😂😂😂wee,sema kweli?
😂😂afu Nina upwiru balaa😪Kautafiti kangu kanaonyesha hivyo na nimejiridhisha 🤣
Na ukaamua leo usiendee kazini kabisa 😋
Oyaaa mpaka dushe limesimama huku😂😂afu Nina upwiru balaa😪
Nae yupo dar hukohuko ingekuwa inawezekana kufika chap hapo ningechagua mlango wake na siyo wako.Marinda yangu nayapenda sana mvulana mzuri🙋Oyaaa mpaka dushe limesimama huku
Ungekuwa Dar na kamvua haka ningekutoa upwiru huo😍
Hizo mvua za kutisha hivyo mbona hatuzioni? Morogoro hapa.Ila ni kweli kwa hizi mvua, ilitakiwa shule za Msingi na Sec wasimamishe masomo, hali ni mbayaa sana,
Watoto wanapata adha kubwa mnoo njiani.
Siko Morogoro mie.Hizo mvua za kutisha hivyo mbona hatuzioni? Morogoro hapa.
Hapana,huku Sasa ni kupangiana maisha,.Halafu mtu gari lote yupo peke yake hata kuchukua watoto watatu hataki anaona kabisa wanaloa ukiuliza watachafua.
Maoni yangu siku inaonyesha Sana iwe ruhusa Kwa Mtoto na waalimu kuto kwenda ShuleIla ni kweli kwa hizi mvua, ilitakiwa shule za Msingi na Sec wasimamishe masomo, hali ni mbayaa sana,
Watoto wanapata adha kubwa mnoo njiani.
Huruma iendane na matendo .kuu.Hapana,huku Sasa ni kupangiana maisha,.
Nipo nashangaa I'd yangu Kwa Nini iwe"dathamtu"na sio dadamtu??Huruma iendane na matendo .kuu.
Wap kimyaDodoma mvua inanyesha?
Mitihani ya kidato Cha pili watoto wanakuja shule saa 3 yaani mtihani umeanza saa mbili katembea km 4 toka Kijiji Cha pili Mvua yote mwilini anaingia kwenye chumba Cha mtihani huku anatetemeka baridi.Unadhani Huyu mtoto ataipenda hii nchi kweli!!Nimesikitika sana ilibidi Kanuni na Sheria zivunjwe sijui nusu saa asiingie hicho kilifeli.Ila ni kweli kwa hizi mvua, ilitakiwa shule za Msingi na Sec wasimamishe masomo, hali ni mbayaa sana,
Watoto wanapata adha kubwa mnoo njiani.