Jua kali huku pwani na baraNimesitisha mipango yangu kuufuatia tahadhari tulizopewa na wataam wetu wa hali ya hewa, tarehe tulizopewa naona zimeshapinduka na sijaona lolote zaidi ya kupungua kwa vina vya maji ktk mabonde yetu.
Kwa kuwa mimi nina nidhamu bado nipo nasubiri kusikia tena taarifa ingine itakayosema sasa tahadhari imeisha endeleeni na shughuli zenu.
Swali; Je huko kwenu El nino mliiona?
Tena na yule mtangazaji galasa wa azam hali ya hewa sijui anajisikiajeNimesitisha mipango yangu kuufuatia tahadhari tulizopewa na wataalam wetu wa hali ya hewa, tarehe tulizopewa naona zimeshapinduka na sijaona lolote zaidi ya kupungua kwa vina vya maji katika mabonde yetu.
Kwa kuwa mimi nina nidhamu bado nipo nasubiri kusikia tena taarifa ingine itakayosema sasa tahadhari imeisha endeleeni na shughuli zenu.
Swali; Je huko kwenu El nino mliiona?
Dah eti Elshadai 🤣🤣🤣🤣We subiri ufe na njaa wenzako mwisho wa mwezi wanakinga mshahara, we lima tu hakuna cha elninyo wala elshadai
Serikali hii ni ya ovyo sana.Ilivyoona kama watu tutahoji, ikaamua kutubandika suala la VPN, yaani uzwazwa juu ya uzwazwaMambo ya serikali ndivyo yalivyo...
Mambo ya VPN yapo kimkakati zaidi, uchaguzi unakaribia, kuna makampuni yanatafutwa haswa haya yakupshana habari...Serikali hii ni ya ovyo sana.Ilivyoona kama watu tutahoji, ikaamua kutubandika suala la VPN, yaani uzwazwa juu ya uzwazwa
Mambo ya V.P.N yapo kimkakati zaidi, uchaguzi unakaribia, kuna makampuni yanatafutwa haswa haya yakupshana habari...Serikali hii ni ya ovyo sana.Ilivyoona kama watu tutahoji, ikaamua kutubandika suala la VPN, yaani uzwazwa juu ya uzwazwa
Nilikua naangalia hali ya hewa ya Far siku ya leo, nikalazimika kuwapigia kuwauliza kwa ninachokisoma wana hali gani huko? Naambiwa joto la leo ni halikua la kitoto.Nimesitisha mipango yangu kuufuatia tahadhari tulizopewa na wataalam wetu wa hali ya hewa, tarehe tulizopewa naona zimeshapinduka na sijaona lolote zaidi ya kupungua kwa vina vya maji katika mabonde yetu.
Kwa kuwa mimi nina nidhamu bado nipo nasubiri kusikia tena taarifa ingine itakayosema sasa tahadhari imeisha endeleeni na shughuli zenu.
Swali; Je huko kwenu El nino mliiona?
Kumbuka ni utabiri sio maonoNimesitisha mipango yangu kuufuatia tahadhari tulizopewa na wataalam wetu wa hali ya hewa, tarehe tulizopewa naona zimeshapinduka na sijaona lolote zaidi ya kupungua kwa vina vya maji katika mabonde yetu.
Kwa kuwa mimi nina nidhamu bado nipo nasubiri kusikia tena taarifa ingine itakayosema sasa tahadhari imeisha endeleeni na shughuli zenu.
Swali; Je huko kwenu El nino mliiona?