Mvua ya mawe inanyesha kubwa sana mda huu

Mvua ya mawe inanyesha kubwa sana mda huu

mende 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
763
Reaction score
131
Jamani mvua inanyesha kubwa sana ikiambatana na mawe ukiwa ndani hata nje huoni hapa Bunda mjini na Tanesco umeme unakatikakatika hovyo. Je, nyie huko mliko vipi hali ya hewa?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli niko hapa Bunda inanyesha kubwa sana ila umeme bado upo haujakatika na mawe yamestop kwa sasa lakini mvua bado inaendelea kunyesha.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli niko hapa Bunda inanyesha kubwa sana ila umeme bado upo haujakatika na mawe yamestop kwa sasa lakini mvua bado inaendelea kunyesha.

Mimi nipo Lamadi nasikia harufu tu
 
Last edited by a moderator:
Jamani mvua inanyesha kubwa sana ikiambatana na mawe ukiwa ndani hata nje huoni hapa Bunda mjini na Tanesco umeme unakatikakatika hovyo. Je, nyie huko mliko vipi hali ya hewa?

Wewe unafikiri hii nchi ni kijiji? Kama mvua inanyesha huko kwenu 8unda unadhani kule Ifakara inanyesha?
 
Last edited by a moderator:
Jamani mvua inanyesha kubwa sana ikiambatana na mawe ukiwa ndani hata nje huoni hapa Bunda mjini na Tanesco umeme unakatikakatika hovyo. Je, nyie huko mliko vipi hali ya hewa?

sasa mvua ikiisha okoteni hizo kokoto mkaziuze ni dili kishenzi
 
Last edited by a moderator:
Hayo mawe yanafaa kujengea wakuu?nina site yangu hapo maeneo ya bunda(chuo cha ualimu)na nina shida na mawe.Plz nipeni taarifa kamili ili nije nikusanye maana hayo mawe hayana mwenyewe loh.
 
Nimeimiss sana mvua ya mawe kiukweli ni kama muongo mmoja sasa sijaishudia
 
Ngoja nimuulize kijana wangu hapo Masanza Kona.
 
Huku dar umeme hukatika hovyo bila visingizio vyovyote vya mvua ya mawe wala ya mchanga.

Maeneo ya kijichi wanazima kila ikifika saa moja usiku sijui ni mgao.
 
Back
Top Bottom