Mvua ya leo ni dalili mwezi uliandama jana

Mvua ya leo ni dalili mwezi uliandama jana

Wenzetu hawatumii macho ya binadamu kuuona mweziwbali wanatumia periscopes. Sasa ukisubiri kuona lazima ukae siku moja nyingine yani nashangaa sana kama Australia washauona na Mecca imeshauona then unasubiri nini?
Maajabu kabisa
 
Eid njema na kila la kheri
Leo tumesherehekea wengine katika nchi tofauti
Natanguliza salaam za Eid kwa wataofurahia kesho
 
Hiyo namba 2 sio sababu ya msingi,kuonekana kwa mwezi kunategemea nchi na nchi,haina maana eti Saudi arabia ikiwa Eid basi dunia nzima iwe eid,tunaambiwa "fungueni/kuleni sikukuu mnapouona mwezi umeandama"
Hatukuambiwa tuifuate Saudi arabia,ndio maana utaona leo Saudi arabia ni Eid ila majirani zake kama Oman leo sio Eid.
Ni kigezo maana Saudi Arabia na hapa hatupishani hata dakika
 
Mtoa mada inaonekana somo la jiografia lilikupita pembeni...kwahiyo Saudi wakiona mwezi na Sie huku lazima tuuone?
 
Ni kigezo maana Saudi Arabia na hapa hatupishani hata dakika
Kwahiyo hiyo ya kutokupishana hata dakika ndio umeona ni sababu ya msingi kua Saudia wakiuona mwezi na wewe wa Nanjilinji unakula nao Eid? Uko serious mkuu?! UAE na Oman hawakupishana hata dakika ila UAE leo ni Eid na Oman wamefunga.
 
Ni kigezo maana Saudi Arabia na hapa hatupishani hata dakika
Dodoma na Dar es salaam tunapishana dakika? Unakumbuka kupatwa kwa jua kulipotokea juzi juzi huko Ludewa? Mbona hatupishani hata dakika lakini kule kilikuwa giza totoro lakini DSM peupe sindano ukidondosha unaokota Bila tochi?
 
Hiyo namba 2 sio sababu ya msingi,kuonekana kwa mwezi kunategemea nchi na nchi,haina maana eti Saudi arabia ikiwa Eid basi dunia nzima iwe eid,tunaambiwa "fungueni/kuleni sikukuu mnapouona mwezi umeandama"
Hatukuambiwa tuifuate Saudi arabia,ndio maana utaona leo Saudi arabia ni Eid ila majirani zake kama Oman leo sio Eid.
Swadakta, zipo nchi nyingi tu mbali na Oman ambazo leo si Eid. Tatizo letu sisi ni kuwa kuna watu wanafuatafuata tu pasipo kujua misingi ya wayafanyayo.
Noamba wafuate Link hii kwa ushahidi, kuna Nchi kibao ambazo hawasherehekei Eid leo.

Moonsighting for Shawwal 1438
 
Mtoa mada inaonekana somo la jiografia lilikupita pembeni...kwahiyo Saudi wakiona mwezi na Sie huku lazima tuuone?
vipi ukionekana Uganda kama ilivyoonekana jana?
mleta mada amezungumza vizuri mno kwamba mwezi umeandama lakini kinachosibiriwa na waliowakabidhi dini yao BAKWATA NI KUONEKANA KWAKE.
Kuandama ni jambo jingine na kuuona pia ni jambo jingine mfano jana Zanzibar kulikuwa na wingu, ungeonekanaje?
usimkabidhi sheikh yeyote yule dini yako.
TUSOME TUIFAHAMU DINI KWA KITABU NA SUNNAH NA SIO KILA JAMBO KUTEGEMEA MASHEIKH WATATUPOTEZA WENGINE NI VYEO TU!
 
Tanzania tuko nyuma sana, mpaka kuuona Mwezi inakua shughuli?

Nahama
 
Back
Top Bottom