Mvua ya leo ni dalili mwezi uliandama jana

Wanaosubiri eid ya CCM kesho kila la kheri. Wengine leo tumemaliza
 
Joined thousands of Muslim faithful in EID prayers at Sir Ali Sports ground marking the end of the Holy Month of Ramadan

It's was attended by great Muslim scholars and Imam's.

Today we want reiterate the position that the moon was sighted in Habeswein (Wajir County), Marsabit County and Kipini (Lamu County) among many other parts of our country as well as many Muslim countries including Saudi Arabia.

It's irresponsible and out of order for the Kenyan Chief Khadhi to mislead and divide the Muslim Umma using an office created by the constitution under article 170 for the unity and interest of the Muslim.

The Chief Khadhi can not work in isolation of the Muslim leaders and organizations when making a decision on the destiny of the Umma.

I urge the Muslim community to spearhead the preaching of peace, cohesion and stability for the nation as we approach the 8/8/2017 general elections.

Election is a one day affair and Kenya and it's great people will remain.

EID Mubarak,
Munah Aaidin, waminal faaizin.

Aden Duale,
Majority Leader,
KENYA
 
Wakuu habari za swaum,

Kwa wale waliofunga kama mimi na eid Mubarak kwa wanaokula sikukuu siku ya leo. Ama kwa hakika mimi kwa mtazamo wangu kwenye suala la muandamo wa mwezi naona leo (Jumapili) ilipaswa iwe sikukuu kwa dalili na sababu zangu zifuatazo;

1.Mvua inayoendelea kunyesha leo ni dalili kabisa ya kuwa mwezi umeandama jana, wajuzi wa mambo ya mwezi wamenithibitishia kuwa mwezi uliandama ila haukuonekana, leo asubuhi nilionana na mzee mmoja mashuhuri kwa shughuli za uvuvi pale ferry sokoni akanambia kwa ufupi tu "kwa dalili za Jana mwezi uliandama ila haukuweza kuonekana" na kwakuwa Tanzania kuna baraza kuu yaani (BAKWATA) kiitifaki tunabidi tusubiri tamko lao kama ilivyo ada maana ukiipinga BAKWATA sawasawa na kuipinga serikali.

2.Ikiwa kitovu na chimbuko la uislam, alipozaliwa mtume Muhammad (S.A.W), ilipoteremshwa Qur'an tukufu katika nchi ambayo ndio tunaenda kufanya hijja na nchi ambayo baadhi ya miji yake imetajwa mpaka kwenye Quran leo hii wanakula Eid el Fitr.

Hitimisho:
Tuendelee kuzingatia itifaki maana leo uonekane usionekane lazima kesho tule Eid maana tunasubiri kuonekana sio kuandama.
Mmeambiwa fungeni na fungueni kwa kuuona.Period!
Acheni blah blah,dini ni unyenyekevu kwa Mungu wako na viongozi wako wakiwemo wa dini
Kushindwa kufuata maelekezo kubeza,kubisha na kulalamika ni dalili ya upungufu wa imani yako ya uislamu
 
Kukuelewesha wewe naona itakua kazi coz unaonekana umejipanga kubishana,kufunga mfungo wa ramadhani na kufungua kwa kusherehekea Eid inategemea na kuuona mwezi kwenye nchi yako,sio kuifuata nchi fulani kisa time zone zinafanana!! Sasa mbona Saudia wakifuturu magharibi hua haufuturu nao na unasubiri adhana ya magharibi ya kwenye mji wako?!
Mbona yule Sheikh wenu alielezea na Kenya kuwa hawajauona kama ni lazima kuuona kwenye nchi yenu
 
Aliyechora mipaka ya nchi ni nani?? What if Tanzania na Uganda zingekuwa nchi moja, Je Tanzania leo wangebadili msimamo na kusherehekea Idd?? Au waganda leo wangefunga kama watanzania? Ukisoma dini vizuri utatambua kuwa kuna nyakati mtume alifunga kwa taarifa tu ya kuandama kwa mwezi katika mji mwingine.
Maelezo marefu yasiyo na mantiki yeyote,tumeambiwa "fungeni na fungueni mkiuona mwezi umeandama" sasa kwanini wewe wakifturu watu wa Saudia magharibi hua haufturu nao bali unasubiri jua litue kwenye mji wako? Coz Allah kasema tufunge jua linapotoka na tufungue linapozama.
 
Wakuu habari za swaum,

Kwa wale waliofunga kama mimi na eid Mubarak kwa wanaokula sikukuu siku ya leo. Ama kwa hakika mimi kwa mtazamo wangu kwenye suala la muandamo wa mwezi naona leo (Jumapili) ilipaswa iwe sikukuu kwa dalili na sababu zangu zifuatazo;

1.Mvua inayoendelea kunyesha leo ni dalili kabisa ya kuwa mwezi umeandama jana, wajuzi wa mambo ya mwezi wamenithibitishia kuwa mwezi uliandama ila haukuonekana, leo asubuhi nilionana na mzee mmoja mashuhuri kwa shughuli za uvuvi pale ferry sokoni akanambia kwa ufupi tu "kwa dalili za Jana mwezi uliandama ila haukuweza kuonekana" na kwakuwa Tanzania kuna baraza kuu yaani (BAKWATA) kiitifaki tunabidi tusubiri tamko lao kama ilivyo ada maana ukiipinga BAKWATA sawasawa na kuipinga serikali.

2.Ikiwa kitovu na chimbuko la uislam, alipozaliwa mtume Muhammad (S.A.W), ilipoteremshwa Qur'an tukufu katika nchi ambayo ndio tunaenda kufanya hijja na nchi ambayo baadhi ya miji yake imetajwa mpaka kwenye Quran leo hii wanakula Eid el Fitr.

Hitimisho:
Tuendelee kuzingatia itifaki maana leo uonekane usionekane lazima kesho tule Eid maana tunasubiri kuonekana sio kuandama.
Mvua imenyesha wapi mkuu? mbona huku DABAGA kukavu?
 
Wenzetu hawatumii macho ya binadamu kuuona mweziwbali wanatumia periscopes. Sasa ukisubiri kuona lazima ukae siku moja nyingine yani nashangaa sana kama Australia washauona na Mecca imeshauona then unasubiri nini?
Na kipindi cha mtume Muhammad walikuwa wanatumia telescope?
 
BAKWATA weshatangaza kuwa, kesho ndo kisomo wala sio leo. Leo 29 iweje sikukuu?? Nadhani tuifuate BAKWATA kwani ndiko aliko Mufti wetu
 
Wakuu habari za swaum,

Kwa wale waliofunga kama mimi na eid Mubarak kwa wanaokula sikukuu siku ya leo. Ama kwa hakika mimi kwa mtazamo wangu kwenye suala la muandamo wa mwezi naona leo (Jumapili) ilipaswa iwe sikukuu kwa dalili na sababu zangu zifuatazo;

1.Mvua inayoendelea kunyesha leo ni dalili kabisa ya kuwa mwezi umeandama jana, wajuzi wa mambo ya mwezi wamenithibitishia kuwa mwezi uliandama ila haukuonekana, leo asubuhi nilionana na mzee mmoja mashuhuri kwa shughuli za uvuvi pale ferry sokoni akanambia kwa ufupi tu "kwa dalili za Jana mwezi uliandama ila haukuweza kuonekana" na kwakuwa Tanzania kuna baraza kuu yaani (BAKWATA) kiitifaki tunabidi tusubiri tamko lao kama ilivyo ada maana ukiipinga BAKWATA sawasawa na kuipinga serikali.

2.Ikiwa kitovu na chimbuko la uislam, alipozaliwa mtume Muhammad (S.A.W), ilipoteremshwa Qur'an tukufu katika nchi ambayo ndio tunaenda kufanya hijja na nchi ambayo baadhi ya miji yake imetajwa mpaka kwenye Quran leo hii wanakula Eid el Fitr.

Hitimisho:
Tuendelee kuzingatia itifaki maana leo uonekane usionekane lazima kesho tule Eid maana tunasubiri kuonekana sio kuandama.

Usikariri tu kumbuka hata oman wamepishana na saudia ingawa ni karibu sana hili swala kwa wewe liache tu lipo kisiasa sana kwa sababu saudia alitangaza sikuku jumapili hata kabla hajajua kama
Mwezi utaandama na wakasema kabisa sikuku ni jumapili na hawatobadilisha walikuwa na uhakika maana dini yetu tunakwenda na mwezi yanayoendelea sasa hivi nchi za kiarabu yaache kama yalivyo huyajui dini imekuwa siasa hivi
 
Hivi hamjiulizi kwanini saudia rabia wao hawafat nchi yoyote ile isipokuw nchini kwao kwa kauli ya mufti mkuu wa nchi yao.
 
Wakuu habari za swaum,

Kwa wale waliofunga kama mimi na eid Mubarak kwa wanaokula sikukuu siku ya leo. Ama kwa hakika mimi kwa mtazamo wangu kwenye suala la muandamo wa mwezi naona leo (Jumapili) ilipaswa iwe sikukuu kwa dalili na sababu zangu zifuatazo;

1.Mvua inayoendelea kunyesha leo ni dalili kabisa ya kuwa mwezi umeandama jana, wajuzi wa mambo ya mwezi wamenithibitishia kuwa mwezi uliandama ila haukuonekana, leo asubuhi nilionana na mzee mmoja mashuhuri kwa shughuli za uvuvi pale ferry sokoni akanambia kwa ufupi tu "kwa dalili za Jana mwezi uliandama ila haukuweza kuonekana" na kwakuwa Tanzania kuna baraza kuu yaani (BAKWATA) kiitifaki tunabidi tusubiri tamko lao kama ilivyo ada maana ukiipinga BAKWATA sawasawa na kuipinga serikali.

2.Ikiwa kitovu na chimbuko la uislam, alipozaliwa mtume Muhammad (S.A.W), ilipoteremshwa Qur'an tukufu katika nchi ambayo ndio tunaenda kufanya hijja na nchi ambayo baadhi ya miji yake imetajwa mpaka kwenye Quran leo hii wanakula Eid el Fitr.

Hitimisho:
Tuendelee kuzingatia itifaki maana leo uonekane usionekane lazima kesho tule Eid maana tunasubiri kuonekana sio kuandama.
Hoja zako dhaifu zote. Kama haujaonekana endelea kufunga, afu wale wasaudi mnawafanya kama mitume ya zama hizi. Utawala wao wa kisiasa ni wa kinafik na utawala wao wa kidini ni wanafik. Na walishasema watu wasiwafate kwenye muandamo. Halafu kama hujui, saudi wana fixed islamic calender, hawanaga kutizama mwezi, ramadhan ya 2020 wanajua itakuwa lini na zitaisha lini. Yaani wao kitu kutizama mwezi kama Mtume alivoamrusha hawana
 
Kwahiyo hiyo ya kutokupishana hata dakika ndio umeona ni sababu ya msingi kua Saudia wakiuona mwezi na wewe wa Nanjilinji unakula nao Eid? Uko serious mkuu?! UAE na Oman hawakupishana hata dakika ila UAE leo ni Eid na Oman wamefunga.
UAE gani unaizungumzia wewe?hii hii ya Sheikh Khalifa bin Zayed bin Sultan al-Nahyan?

Hii habari ya jana Eid Al Fitr announced in UAE,
Shawwal moon sighted
Web Report
Last updated on June 24, 2017 at 6.23 pm
The moon-sighting committee in UAE has
announced that tomorrow, Sunday (June
25), will be the first day of the month of
Shawwal and the first day of Eid Al Fitr.
The committee, headed by Sultan bin Saeed
Al Badi, Minister of Justice, said that after a
number of legitimate measures, as well as
several contacts with neighbouring
countries, it was established that Sunday is
the first day of Shawwal, marking the first
day of Eid Al Fitr in the UAE.
 
Maelezo marefu yasiyo na mantiki yeyote,tumeambiwa "fungeni na fungueni mkiuona mwezi umeandama" sasa kwanini wewe wakifturu watu wa Saudia magharibi hua haufturu nao bali unasubiri jua litue kwenye mji wako? Coz Allah kasema tufunge jua linapotoka na tufungue linapozama.
Sipingani nawe ni ktk kujenga uelewa wa pamoja mkuu. Mfano, Mwezi ukionekana morogoro halafu Iringa haujaonekana unataka wengine wafunge na wafungue sio?? Na je unaizungumziaje ile hadithi inayosema kuna wakati mtume alifunga kwa kuambiwa tu kuwa mwezi umeonekana mji mwingine na wala si wao waliuona ktk mji wao.
 
Back
Top Bottom