Mvua ya leo Dar: Umeme wazimika maeneo mengi

Mapfa A

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
250
Reaction score
260
Hii inasababishwa na nini? usiku wa kuamkia leo mvua iliyokuwa ikinyesha kuanzia saa nane usiku nimeshuhudia jiji zima umeme kukatika. Hii nimeithibitisha kutokana na eneo ninaloishi kuwa lenye muinuko (Makongo juu.)

Hili linasababishwa na nini?
 
Si kweli, kigamboni umeme haukukatika pamoja na kwamba mvua ilikuwa kubwa.
 
Hii inasababishwa na nn? usiku wa kuamkia leo mvua iliyokuwa ikinyesha kuanzia saa nane usikun nimeshuhudia jiji zima umeme kukatika. hii nimeithibitisha kutokana na eneo ninaloishi. kuwa lenye muinuko (Makongo juu) HILI LINASABABISHWA NA NNI?

Mmh ila kwetu haujakatika mbona?
Ila poleni kwa kukosa nishati hii muhimu usiku mzima, siku hizi umeme ni kama indiketa
 
mmmmmm umeongeza chumvi jiji zima!!!!!!
 
Huku kwetu umeme ulizima kutokana na sacket breaker kuji off
 
Hii inasababishwa na nn? usiku wa kuamkia leo mvua iliyokuwa ikinyesha kuanzia saa nane usikun nimeshuhudia jiji zima umeme kukatika. hii nimeithibitisha kutokana na eneo ninaloishi. kuwa lenye muinuko (Makongo juu) HILI LINASABABISHWA NA NNI?

Big lie, mm naishi Kimara Mwisho umeme huku mbona upo!
 
Hii inasababishwa na nn? usiku wa kuamkia leo mvua iliyokuwa ikinyesha kuanzia saa nane usikun nimeshuhudia jiji zima umeme kukatika. hii nimeithibitisha kutokana na eneo ninaloishi. kuwa lenye muinuko (Makongo juu) HILI LINASABABISHWA NA NNI?

Hivi ukiwa Makongo juu unaweza kuiona Segerea, au Bonyokwa, hivi unaweza kuiona Tegeta huku ukiwa ndani kwako maana saa hizo mvua ilikuwa inanyesha?
 
si kweli nipo ubungo na umeme tangu mvua imeanza haujakatika
 
kwa mleta uzi, kwake jiji zima ni makongo. anawezaje kuzungumzia jiji zima la dar ikiwa hana taarifa za uhakika
 
Duh, umekoleza sana, Kisukulu, na Kimanga tumekesha nao, wala hajakatika. Labda ufafanue ni Jiji lipi hilo?
 
Duh...ebana we jamaa muongo!! yani kukatika umeme apo ulipo tu ndo umejumuisha Dar nzima!!!!
 
Hii inasababishwa na nini? usiku wa kuamkia leo mvua iliyokuwa ikinyesha kuanzia saa nane usiku nimeshuhudia jiji zima umeme kukatika. Hii nimeithibitisha kutokana na eneo ninaloishi kuwa lenye muinuko (Makongo juu.)

Hili linasababishwa na nini?

Si kweli, Ilala haukukatika.
 
Hii inasababishwa na nini? usiku wa kuamkia leo mvua iliyokuwa ikinyesha kuanzia saa nane usiku nimeshuhudia jiji zima umeme kukatika. Hii nimeithibitisha kutokana na eneo ninaloishi kuwa lenye muinuko (Makongo juu.)

Hili linasababishwa na nini?

Imesababishwa Na Kukaa Kwako Tu Huko Makongo Juu ILA Sisi Tuliokuwa Maeneo Ya Tambarare Tulikuwa Tunapeta Tu Kwa Kupata Umeme.
 
Back
Top Bottom