The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,323
- 11,762
Wapeni hiyo mvua hata majirani zetu kenya wamwagiliziwe udogo wao walime. Wana njaa sana kule wana uhitaji sana wa mvua.
mwaka jana tuliwaibia mawingu yao ya mvua ona sasa wanavyoteseka😢.
mwaka jana tuliwaibia mawingu yao ya mvua ona sasa wanavyoteseka😢.