Mvua kubwa yaja

Mvua kubwa yaja

Nadhani una fahamu mtaa mtoni mtongani kwa chini ukipita relini kama kawaida mamlaka ilitoa taadhari kutukuwa na mvua kubwa wakazi wa mabondeni tuchukue taadhari asubuhi nikaingia zangu shule kurudi nikakuta nyumba inaonekana bati sikuàmbulia chochote hii yote ilitokana na kupuuzia taarifa tunazopewa na ujuaji mwingi..
Inaandikwa TAHADHARI na siyo taadhari!
 
Shukran kwa taarifa, wengine shughuli zetu hazihitaji mvua
Mvua kubwa yaja, TMA yatoa tahadhari ya siku tano

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya siku tano ya kunyesha mvua kubwa inayoweza kusababisha athari ikiwemo mafuriko.

Mvua hiyo inatarajiwa kunyesha katika mikoa ya Rukwa, Mbeya, Iringa, Njombe, Songwe, Ruvuma, Lindi, Mtwara, Morogoro, Dar es Salaam, Tanga, Pwani na Zanzibar.

Kwa mujibu wa TMA, mvua hizo zinatarajiwa kuanza kunyesha leo Ijumaa Machi 29 hadi Aprili 2, 2019 na kwamba zinaweza kuleta athari kwenye makazi ya watu.

Pia, kuleta shida katika usafiri na kusimama kwa muda kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii.

Mamlaka hiyo imesema kuanzia leo hadi Machi 31, 2019 mvua hizo zitanyesha katika mikoa ya Rukwa, Mbeya, Iringa, Njombe, Songwe, Ruvuma, Lindi, Mtwara na Morogoro.

Imesema Aprili Mosi hadi Aprili 2, 2019 mvua hizo zitanyesha katika mikoa ya Rukwa, Mbeya, Iringa, Njombe, Songwe, Ruvuma, Lindi, Mtwara, Morogoro, Dar es Salaam, Tanga, Pwani na Zanzibar.

TMA imeshauri menejimenti ya maafa, watoa huduma za dharura pamoja na wadau wengine kuchukua hatua za kuweka mipango stahiki kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza.

Chanzo: https://mobile.mwananchi.co.tz/Haba...97580-5047982-format-xhtml-l4neoyz/index.html

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wanadhani mafuriko ni season ya kikorea au tamthilia za kibongo.
Ukiona hayajatokea mshukuru muumba kwa kuyaepusha na sio kuleta mbwembwe.
Asume yakija yakabeba hilo jengo linalotunza mpunga wa taifa.
Majanga sio ya kuona kabisa tuendelea kusoma na kuyasikia tu mitandaoni.
Yanaowapata tunawazidi nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Well said[emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TMA waongo mpaka wanajishtukia wenyewe... Hawa jamaa....wakiona tu wingu sehemu wanapigiana simu kuwa "mzee mwalubadu mvua inakuja watangazie"

Sasa wamesikia mashekhe wameomba mvua nao wamekuja na tangazo hili...hawa jamaa hawa...basi tu.
[emoji23][emoji23]
 
Mvua kubwa yaja, TMA yatoa tahadhari ya siku tano

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya siku tano ya kunyesha mvua kubwa inayoweza kusababisha athari ikiwemo mafuriko.

Mvua hiyo inatarajiwa kunyesha katika mikoa ya Rukwa, Mbeya, Iringa, Njombe, Songwe, Ruvuma, Lindi, Mtwara, Morogoro, Dar es Salaam, Tanga, Pwani na Zanzibar.

Kwa mujibu wa TMA, mvua hizo zinatarajiwa kuanza kunyesha leo Ijumaa Machi 29 hadi Aprili 2, 2019 na kwamba zinaweza kuleta athari kwenye makazi ya watu.

Pia, kuleta shida katika usafiri na kusimama kwa muda kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi na kijamii.

Mamlaka hiyo imesema kuanzia leo hadi Machi 31, 2019 mvua hizo zitanyesha katika mikoa ya Rukwa, Mbeya, Iringa, Njombe, Songwe, Ruvuma, Lindi, Mtwara na Morogoro.

Imesema Aprili Mosi hadi Aprili 2, 2019 mvua hizo zitanyesha katika mikoa ya Rukwa, Mbeya, Iringa, Njombe, Songwe, Ruvuma, Lindi, Mtwara, Morogoro, Dar es Salaam, Tanga, Pwani na Zanzibar.

TMA imeshauri menejimenti ya maafa, watoa huduma za dharura pamoja na wadau wengine kuchukua hatua za kuweka mipango stahiki kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza.

Chanzo: https://mobile.mwananchi.co.tz/Haba...97580-5047982-format-xhtml-l4neoyz/index.html

Jr[emoji769]

mkuu je kwasie wa MASAKI hii habari inatuhusu kweli🤣🤣🤣🤣
 
Ndege yetu tuliyochoronga twiga na kupaka rangi zetu, wahusika wachukue tahadhari...Milioni 7 ni nyingi...hii Mvua isilete nongwa[emoji48][emoji48]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wiki iliyopita si hawahawa walituambia kuwa mwaka huu unaukame na njaa ya kufa mtu! Sasa imekuwaje tena? Au wamemalizana na mwakasege akaifungulia mvua?
 
Ndege yetu tuliyochoronga twiga na kupaka rangi zetu, wahusika wachukue tahadhari...Milioni 7 ni nyingi...hii Mvua isilete nongwa[emoji48][emoji48]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]tulipaswa tuibandike kinyago sio kuipakaza marangi... Ona sasa ikinyewa na mvua si inaweza kugeuka aisikilimu[emoji125][emoji125][emoji125]
IMG-20190330-WA0160.jpeg

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom