Mvua kubwa yaja

Mvua kubwa yaja

Mwaka huu ngoma ngumu..wakulima imekula kwetu! Kuna mbwa Jana nimshuhudia analamba reli..tunakoelekea tutaanza kuchemsha viatu vya ngozi na mikanda tupate supu..hatari fire!
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Waganga wa jadi(TMA) wamerudi tena na utabiri wao?acha tuwasubiri bakwata nao tuone wanasemaje kuhusu mvua yao waliyoiomba juzi kama zitajiunga na hii ya TMA
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Afadhali hata mvua ije maana Mshana jr kwenye zile shughuli zenu za kuruka naight mtaenda likizo fupi[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] isije aisee tunguli zitalowana

Jr[emoji769]
 
TMA waongo mpaka wanajishtukia wenyewe... Hawa jamaa....wakiona tu wingu sehemu wanapigiana simu kuwa "mzee mwalubadu mvua inakuja watangazie"

Sasa wamesikia mashekhe wameomba mvua nao wamekuja na tangazo hili...hawa jamaa hawa...basi tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji30][emoji30]

Jr[emoji769]
 
hawa jamaa mwaka 2011 walitoa utabiri wao mapema ila wajuaji ni wengi nikiwemo mimi kujifanya wanajua nini kilichotokea ilikuwa funzo kwangu mpaka leo siwezi kupuzia taarifa za mamlaka ya hali ya hewa
Ilikuwaje?

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom