Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Maji yakisomba kibanda mbuzi changu,.tafadhali usisite kunipokea😉😂😂😂😂...
Maji yakisomba kibanda mbuzi changu,.tafadhali usisite kunipokea😉😂😂😂😂...
😉😉😉😉 karibuMaji yakisomba kibanda mbuzi changu,.tafadhali usisite kunipokea😉
You made my day, halafu avatar yako huitendei vyema. Mbwa kulamba reli kweli?Mwaka huu ngoma ngumu..wakulima imekula kwetu! Kuna mbwa Jana nimshuhudia analamba reli..tunakoelekea tutaanza kuchemsha viatu vya ngozi na mikanda tupate supu..hatari fire!
Yaani nimesoma comment za watu zinanirudisha kwenye ile jamvi letu la vituko mitandaoni! Nacheka mpaka basi.Sio sehemu ya utabiri
Jr[emoji769]
BAKWATA tena?Waganga wa jadi(TMA) wamerudi tena na utabiri wao?acha tuwasubiri bakwata nao tuone wanasemaje kuhusu mvua yao waliyoiomba juzi kama zitajiunga na hii ya TMA
Yaaan uzur wa TMA wakitabir tu bas hainyeshi ila wakikaa kimya linashuka bonge la dude
Yeah ni kwel walitabir hapo katkat kwamba ingenyesha haikunyesha then baadae baada ya kuona watu wansema sana wakasingzia kimbunga kile kilichopeleka mafuriko msumbiji, Hawa jamaa wanatuona matondo sana sie.hahajaja...siku hiz wameanza kupotezana...zaman hapo kati walikua poa kbs
Wazee wa ramli chonganishi.Waganga wa jadi(TMA) wamerudi tena na utabiri wao?acha tuwasubiri bakwata nao tuone wanasemaje kuhusu mvua yao waliyoiomba juzi kama zitajiunga na hii ya TMA
Nadhani una fahamu mtaa mtoni mtongani kwa chini ukipita relini kama kawaida mamlaka ilitoa taadhari kutukuwa na mvua kubwa wakazi wa mabondeni tuchukue taadhari asubuhi nikaingia zangu shule kurudi nikakuta nyumba inaonekana bati sikuà mbulia chochote hii yote ilitokana na kupuuzia taarifa tunazopewa na ujuaji mwingi..Ilikuwaje?
Jr[emoji769]
Mbona mvua zinanyesha huku rukwa, Mbeya na songwe?uongo wao ni upi au umeamua kupost tu?Utabiri wa hao jamaa kama marehemu she he Yahaya RIP