Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,100
- 4,297
Nipo mbezi Louis aisee hii mvua inayonyesha ni balaa
Nlipo imepita rasha rasha tu ila naona wingu zito.Unaishi Dar mashambani...
Town ni kukavu
Ikishukuka mvua za maana kama mara mbili tatu hivi kule Love connect kutachangamka.Mbezi juu kukavuu!!
Nawaonea huruma watu wanaotegemea haya majiKingeni maji mengi ya kutosha, DAWASCO wanawazoom tu.
Nadhani mnaujua vizuri mtiti wao.