mbalila
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 825
- 161
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
Simu: 255 22 2460735/2460706 FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056 Barua pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAM Tovuti: www.meteo.go.tz
Unapojibu tafadhali nakili: Kumb. Na.: TMA/1622 18 Februari, 2014
Taarifa kwa Umma: Vipindi vya mvua kubwa vinatarajiwa.
Taarifa Na. 201402-03
Muda wa Kutolewa Saa za Afrika Mashariki Saa 8:30 Mchana
Daraja la Taarifa: Tahadhari
Kuanzia: Tarehe 19 Februari, 2014
Mpaka: Tarehe 21 Februari, 2014
Aina ya Tukio Linalotarajiwa
Vipindi vya mvua kubwa (zaidi ya mm 50 ndani ya saa 24) kwa siku
Kiwango cha uhakika: Wastani (60%)
Maeneo yanayotarajiwa kuathirika Kanda ya kati (mikoa ya Singida na Dodoma), nyanda za juu kusini-magharibi (mikoa ya Iringa, Mbeya na Njombe) na maeneo ya kusini (Mikoa ya Ruvuma na Morogoro).
Maelezo: Hali hii inatokana na kuimarika kwa mfumo wa mgandamizo mdogo wa hewa katika rasi ya Msumbiji. Mfumo huu unatarajiwa kuvuta upepo kutoka misitu ya Congo kupitia maeneo tajwa hapo juu.
Angalizo: Idara zinazohusika na hali ya tahadhari pamoja na wakazi wa maeneo hatarishi wanashauriwa kuchukua tahadhari.
Maelezo ya Ziada
Mamlaka ya Hali ya Hewa inaendelea kufuatilia hali hii na itatoa mrejeo kila itakapobidi.
Imetolewa na mamlaka ya hali ya hewa