vuteni subira maji yatafika muda wowote yasubirini hapo hapo darajani jangwaniMidamida ndiyo panaweza kuwa shida maana maji yanayotoka gombs, Kinyerezi nk kuja huko bado yapo njiani yakifika ndiyo balaa
Midamida ndiyo panaweza kuwa shida maana maji yanayotoka gombs, Kinyerezi nk kuja huko bado yapo njiani yakifika ndiyo balaa
Izo pesa mnauthibitisho gani amepiga? No pesa nyingi sana lazima mamlaka ingesema nani anamuogopa?Tz shamba la bibi kamvua kadogo tunashindwa kukacontrol? Tunawaacha kina Bashiru wanapiga Bilioni 180 wakati tungeweza kuvuna maji na kutengeneza Dams tukazalisha umeme pia ,wajaribu kusoma project ya TVA -Tennessee Valley Authority.
Hela zimepigwa halafu.Tz shamba la bibi kamvua kadogo tunashindwa kukacontrol? Tunawaacha kina Bashiru wanapiga Bilioni 180 wakati tungeweza kuvuna maji na kutengeneza Dams tukazalisha umeme pia ,wajaribu kusoma project ya TVA -Tennessee Valley Authority.
Zilisha rudishwa zote.. Mabeyo alizingua alimwambia Diwani hayupo makini..Hela zimepigwa halafu..
Kimyaaaah
Nani amfunge paka kengereHela zimepigwa halafu.
Kimyaaaah
Izo pesa mnauthibitisho gani amepiga? No pesa nyingi sana lazima mamlaka ingesema nani anamuogopa?
Hahaha, watu tunakaririshwa stori za vijiweni, ila tunazisambaza kama tulikuwepo sehemu ya tukio.Zilisha rudishwa zote.. Mabeyo alizingua alimwambia Diwani hayupo makini..
Wawili washabananishwa kwenye 18 nadhani soon watapelekwa kwa Ponsio Pilato.Hela zimepigwa halafu ......
Kimyaaaah
Mm bado hainiingii mkuuPdf ni kubwa kidogo mkuu ila gogoki2014 amejaribu kudokoa vitu vichache kwenye ripoti ya BOT ,180b zimepigwa na watu wawili wapo ngome ila inabidi wengine walindwe maana pdf zao ni kubwa kidogo.