LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 9,211
- 12,716
Kwa hiyo zikichomwa Ni wapinzani. Mbona lissu kaligwa risasi hakuna mwanaccm aliyekamatwaHuko Moshi tayari wanachama 6 wa chadema na act wamepandishwa mahakamani kwa kosa kama hilo.
Kwa hiyo zikichomwa Ni wapinzani. Mbona lissu kaligwa risasi hakuna mwanaccm aliyekamatwaHuko Moshi tayari wanachama 6 wa chadema na act wamepandishwa mahakamani kwa kosa kama hilo.
Maccm majinga sana ya achoma moto ofis kupoteza ushahidi wa kuiba kura na kuvuruga uchaguzi.Wilayani Mvomero mkoani Morogoro ofisi ya kijiji cha Mlali imechomwa moto usiku wa kuamkia leo, nyaraka zote muhimu zateketea.
Watu wasiojulikana, wameichoma moto Ofisi ya Kijiji Cha Mlali kilichopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 11, 2019.
Aidha ofisi hiyo imechomwa moto pamoja na nyaraka zote zilizokuwa ndani ya ofisi hiyo zimeteketea kwa moto.
Uongozi wa mkoa wa Morogoro akiwemo Mkuu wa mkoa Loata Ole Sanare pamoja na kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Wilbroad Mutafungwa wako eneo la tukio wakifuatilia sababu za kuchomwa moto ofisi hiyo.
Mwananchi limemtafuta Sanare kuhusu taarifa hizo ambapo amesema yuko kwenye kikao eneo la tukio na kwamba atazungumza baadaye na waandishi wa habari.
Diwani wa Mlali, Frank Mwananziche amesema ofisi hiyo ilichomwa majira ya saa nane usiku na watu wasiojulikana.
Hii ni ofisi ya pili inachomwa moto baada ya watu wasiojulikana usiku wa kumakia jana Jumapili Novemba 10, 2019 kuichoma moto ofisi ya mtendaji wa kata ya Soweto katika Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Chanzo: Mwananchi
Maccm haya tumeyaacha yajipitishe bila kupingwa bado hayaridhiki yanachoma ofisi za wananchiIna maana hao "Watu Wasiojulikana" sasa wamebadili gia angani hawateki watu tena au kuwajeruhi kwa risasi ila sasa wanachoma nyumba kwa moto.
This is terrible.
Baada ya Salam hizo kuanzia 24 Nov wananchi waanze kunyoosha na hawa viumbe wa hovyo wa kata na vijijiKijiji kingine au ni kile kile MLALI? Kama ni kingine basi imekaa njema sana,waendelee tu kuchoma ofisi zote za kata TZ nzima.
Wewe ni mganga wa "kizamani?" Ramli chonganishi hatari sana!Baada ya kuishiwa pumzi ,chadema waanza kuchoma moto ofisi
Nimekumbuka huko!
Enzi za kutokea Changarawe, nakwenda kupumzisha akili Mlali siku ya mnada!
SOPAMMzumbe moja hiyooooo,
Unapaswa kukamatwa ili kusaidia polisiBaada ya kuishiwa pumzi ,chadema waanza kuchoma moto ofisi