MV Skagit




Meli ya Mv SKAGIT ikimalizikia kuzama jana katika eneo la Chumbe Zanzibar
 
Ni huzuni kubwa sana,sina hata la kusema, poleni sana wafiwa,waliotangulia mbele ya haki wapumzike kwa amani
 
Ee Mola wafariji wafiwa wote na majeruhi uwarejeshee afya zao.... Amen

Inatia uchungu sana
 
Hii picha imeharibu siku yangu. Inahuzunisha Sana.
Kwa uzembe wa watu wachache umefanya ndoto za watoto hawa ziyeyuke kama barafu juani. Tumepoteza pengine rais, waziri,mbunge au kiongozi hodari wa kesho hapa jamani.

Inauma sana, ngoja nifute machozi kwanza nitarudi baadaye nikipata nguvu.
 
huzuni sana..govt do smthin..hii inaonesha wazi kabisa we ddnt learn from the past accident
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…