mv magogoni imezama na watu

mv magogoni imezama na watu

leo hii saa 12:30 asubuhi ya tarehe 1/4/2014 boti mv magogoni imeza na watu wote juhudi za uokoaji zinaendelea

nasikia na mume wako alikuwemo.
pole maana utakuwa mjane
 

Attachments

  • 10011511_a.jpg
    10011511_a.jpg
    8.7 KB · Views: 203
Hatudanganyiki kabisa tunajua nia yako.
 
Mjinga si yule anaeambiwa ujinga! Hata anesema ujinga pia nae ni mjinga....


Said
 
Baba mchungaji kakudanganya kwamba kila kitu ni cha shetani.. za kuambiwa changanya na zako
....no ni logic tu, kwanini siku hii isitumike kuelimisha wajinga ikawa na faida badala yake inatafsiriwa kuwa ni siku ya kusema uwongo, na bible inaniambia shetani ni baba wa uwongo, so ukiconect dots uwongo ni kazi ya shetani na siku imetafsiriwa kuwa ni ya kusema uwongo jibu ni DEVILS DAY, simple logic man huhitaji lecture ya masaa 3 kung'amua....!!??
 
Wakuu,nipo ndani ya Mv Magogoni now.
Ni kweli imezama,hapa tupo km 20 chini ya bahari.
Ngoja nipige picha niweke.
 
nimesikia nikweli imezama na wabunge wa BMLK

mkuu weka maelezo jinsi ole sendeka alivyokuwa analia kwamba atakosa kuipatia tanzania katiba mpya.

wajinga wameumia sana kwa tukio hili.
 
leo hii saa 12:30 asubuhi ya tarehe 1/4/2014 boti mv magogoni imeza na watu wote juhudi za uokoaji zinaendelea

pamoja na kwamba leo ni siku ya wajinga, hii sijaipenda sana! naifananisha na mtu anayejaribu kuwapigia simu watoto wenzie kuwapa taarifa za uong kuwa baba kafariki dunia, simply ni april fools day! This is rather stupid!
 
Back
Top Bottom