MV Kigamboni imezimika injine

MV Kigamboni imezimika injine

Sasa hata daladala zikigongana ni CCM imeshindwa kazi?

Baadhi ya watu Humu sijui wakoje, kila kitu wanachukulia ki siasa itafikia hata mtu akila chakula kibichi ni siasa mbovu.

Body without head
 
huu ni udumavu wa akili

boti ikizima engine basi tayari ni CCM

lah

Mkuu....huyo jamaa nafikiri anaonyesha jinsi amechoka na mambo ya hivyohivyo kila sehemu. Lakini haiwezi kuwa ccm ndio wahusika kwa pantoni kuzima.

This shows how much some people hate ccm.
 
Hapo watu wanaweza kufa wakati wanaonwa,TZ nchi ya vichaa wachumia tumbo
 
Mkuu....huyo jamaa nafikiri anaonyesha jinsi amechoka na mambo ya hivyohivyo kila sehemu. Lakini haiwezi kuwa ccm ndio wahusika kwa pantoni kuzima.

This shows how much some people hate ccm.
Kaka wabongo wanafik mno aisee, i dont trust hawa wanaojiganya propaganda humu... Unakumbuka yule kenge ludovic aliyemlengesha lwakatare na ile video? Au hujaona hata humu threadzinazogusa watu fulani hazikai? Na je ukikutana na wafanya mamuzi ya nini kibaki humu huwanafanya nini? Sio zilezile lip services?

haya
 
Back
Top Bottom