MV Kigamboni imezimika injine

MV Kigamboni imezimika injine

cdf

Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
18
Reaction score
0
ingine zimezima boti linapeperushwa na upepo kama jahazi. My take. Ccm imeshindwa kazi
 
Duh, sasa hii engine si waifanyie matengenezo, eee Mungu, daraja lije mapema!
 
Nimesikia Kigamboni Pantoni Limezima Injini Moja,mwenye taarifa atueleze!
 
Sielewi hii habari ni ya saangapi maana mie niko hapa ferry na Mv Kigamboni inafanya kazi bila tatizo
umefika saa hiz. Ndo limekokotwa. But ni kweli ni bovu.
 
huu ni udumavu wa akili

boti ikizima engine basi tayari ni CCM

lah
 
Me mbona nmevuka nayo nw mv hipi unayoongelea ww?

Ni kweli, lkn ni mv magogoni na sio mv kigamboni. As of now, magogoni iko docked na watu wanavushwa na mv kigamboni. Abiria ni wengi sana kiasi kwamba wengine imebidi kuachwa.
 
Muanzisha uzi, unatambua kama kuna Mv 'Magogoni' na Mv 'Kigamboni'?
 
ingine zimezima boti linapeperushwa na upepo kama jahazi. My take. Ccm imeshindwa kazi

Haijazima injini bali imeamua kukaa kimya kwa muda ikipinga vitendo vya ulawiti dhidi ya wateja wake wakuu huko kigamboni. Nadhani.
 
We hakwe kweli, yaan unaposti kichwa cha habari kizuri halafu unaingiza chama! Unafikir CCM ndo wanamafundi au ndo wanaweza zuia injini isizime? Usiwe HAKWE.
 
kiukweli mv magogoni imepoteza mwelekeo kiasi kwamba, Mungu ni mwema sana kwetu
 
Back
Top Bottom