Nimeshuhudia mara kadhaa kivuko kikihangaika kupaki hadi dakika 15!Wewe mgeni kigambon
Wenyeji wala hawashangai tukio kama hilo
Nimeshuhudia mara kadhaa kivuko kikihangaika kupaki hadi dakika 15!
Kero za Kigamboni zinaishia hewani tu. Ila jioni kutoka kivukoni kwenda Kigamboni kama una roho nyepesi hupandi pantoniKuna meli iliwahi kukodiwa hapo ikawa inavusha watu inaitwa Khadija.
Kuna siku ilileta usumbufu hapo kama masaa mawili... nilitegemea asubuhi ningekuta habari kwenye media, lakin wapi
Kero za Kigamboni zinaishia hewani tu. Ila jioni kutoka kivukoni kwenda Kigamboni kama una roho nyepesi hupandi pantoni
Poleni sana wakazi wa Kigamboni kwa misukosuko......Kama ni muoga uwe unapita Darajani NSSF au Uzunguke Kongowe-Toangoma-Kibada-Mjimwema.
Huo uhai una thamani gani hata kuuzungusha vile?
Siku hizi ipo njia Safi ya dmdp kijichi-kibadaPoleni sana wakazi wa Kigamboni kwa misukosuko......Kama ni muoga uwe unapita Darajani NSSF au Uzunguke Kongowe-Toangoma-Kibada-Mjimwema.
Siku hizi ipo njia Safi ya dmdp kijichi-kibada
Unge weka picha ingependeza zaidi...