Kivuko cha mv kigamboni chaanza kufanya kazi leo jijini dar es salaam

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,331
33,146


unnamed%2B(3).jpg
Kivuko cha MV Kigamboni kimeanza safari zake jioni ya leo baada ya ukarabati mkubwa uliofanywa na Kikosi cha Maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli.
unnamed%2B(3).jpg


Kivuko cha MV KIgamboni kikiwa majini kuelekea eneo la Ferry kwa ajili ya kuanza kutoa Huduma ya Usafiri.
unnamed%2B(4).jpg


Abiria wakiingia kwenye Kivuko cha MV Kigamboni mara baada ya kuanza kufanya kazi.

Michuzi
Read more
 
Back
Top Bottom