MV Kigamboni ilituletea hofu iliposhindwa kutia nanga leo

Cjui Lakin I Sio pesa kidogo Sema ndo serikal za
Africa pesa wachukue ila huduma mbov
Mbovu tu
Lakini kwa kivukoni huduma sio mbovu kivile, hao walinzi pekee na watumishi wengine pia mishahara sio haba
 
Lakini kwa kivukoni huduma sio mbovu kivile, hao walinzi pekee na watumishi wengine pia mishahara sio haba
Bas, hapo n vizr kama wameweka mazingira Mazur sio kama pale ubungo
Unalipa 300 Lakin ndan hata Choo hakuna
 
Nini hasa huwa chanzo cha kuzama...kwa kifupi tu boss kubwa
Kama pantoni limetoboka chini na vyumba vinavyoigawanya kuingia maji Kwa kiasi kikubwa, hii itaathiri stability ya pantoni na inaweza kupelekea kuzama ikipakiwa mzigo.

Upakiaji mbovu wa mzigo, kwa pantoni sio ishu Sana maana hapo kigamboni mizigo mizito mingi inaoakiwa chini na haiwezi kuathiri kitovu cha kuelea meli. Labda watu wajae Sana deck ya juu na uzito uwe mkubwa hapo wimbi au upepo mkali ukipiga meli ikiyumba haitokuwa na uwezo wa kurudi tena itaenda moja Kwa moja.
 
Nimekuelewa boss
 
Pantoni au meli kuzama sio Jambo rahisi kama watu wanavyo ongea Kwa hapo hata watu wakijaa hawawezi kuathiri ship stability maana wengi wanakaa sehemu ya chini na katikati.

Kushindwa kupaki pantoni hakuwezi kuzamisha zaidi ya kupoteza muda au pantoni kupelekwa upande ambao upepo unavuma na kwenda kugonga vyombo vingine au maboya yaliyopo baharini.

Kuzama ni habari nyingine na sababu zake ni tofauti.
Tusidanganyane kama utakua na kumbukumbu nzuri Mwaka 2018

Unayakumbuka yaliyo tokea ukerewe.....

Je unazikumbuka sababu zilizo tajwa kusababisha ajali ile.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom