MV Kigamboni ilituletea hofu iliposhindwa kutia nanga leo

Ha ha ha pole mkuu.

Hakuna watu nilikua nikiwahurumia kama wanachuo wenzangu wa kigamboni hasa wakati wa mitihani imewahi mara kadhaaa tena vipindi vya paper.

Na nisivyojua kuogelea mimi nasimamaga mbele ya boya na huwa nalipigia mahesabu namna ya kulichomoa
 
Leo alfajiri ya saa 04:15 kivuko cha MV Kigamboni kilishindwa kutia nanga kutokana na mawimbi makali sana.

Ilikuwa hivi; Mv Kigamboni iling'oa nanga saa 04.05 kutokea upande wa Ferry kuelekea Kigamboni.
Hali ya bahari haikuwa shwari kwani kulikuwa na upepo na mawimbi makubwa kiasi.
Tulipokaribia Kigamboni ilionrkana maji yamejaa sana hadi kukaribia sehemu ya abiria kupumzika wakisubiria kuvuka hali amabayo aijwahi kuona.
Slops ambapo jembe au flat surface ya kivuko hugusa ili watu washuke na kupanda zilionekana kidogo sana hasa ya kushoto.

Tulipokaribia kutia nanga kivuko kilipeperushwa na upepo kupelekwa uelekeo wa bandari, taharuki ilitanda na kuna kijana alitaka kuruka majini akadhibitiea na walonzi na ilichukua kama dk 10 kivuko kuanza upya kwenda mbele hatimaye ikifanikiwa kutia nanga.

Ndani ya hizo dk 10 nililazimika kutoka kwwnye gari na kuanza kusogolea maboya na matukio yoye ya kuzama majinibyalonijia

Maji shikamoo
Marahaba hujambo?
 
Unge weka picha ingependeza zaidi.....

By the way poleni Sana kwa taharuki....

I know jinsi ulivyo Anza kuangaika baada ya taharuki IYO.....

Umenikumbusha MIAKA mingi iliyopita nikiwa abiria wa MV. Victoria

Mara kadhaa wa kadhaa tulikutanaga na izo changamoto...
Acha utani aisee, we unaweza piga picha kwenye hali kama hiyo?
 
Kuna meli iliwahi kukodiwa hapo ikawa inavusha watu inaitwa Khadija..
Kuna siku ilileta usumbufu hapo kama masaa mawili... nilitegemea asubuhi ningekuta habari kwenye media..lakin wapi
Meli ya bakhresa hiyo
 
Somo la kuogelea ni muhimu ukizingatia asilimia 71 ya uso wa dunia ni maji( bahari,Ma ziwa ,mito nk
 
Hapo labda uhofie kupoteza mali yako tu (Gari) na sio kusema kuwa utakufa kwa kuzama kwa vimaji vya hapo.
 
....nililazimika kutoka kwenye gari....!? Hivi kwenye Kivukoni hakuna kanuni inayokataza abiria kukaa ndani ya gari? Nakumbuka miaka ya zamani ilikuwepo sijui sasa, hata kama haipo wewe binafsi haudhani kuwa ni jambo la hatari zaidi endapo Kivukoni kikipinduka? Au gari lako ndilo lilikuwa boya lako!
 
....nililazimika kutoka kwenye gari....!? Hivi kwenye Kivukoni hakuna kanuni inayokataza abiria kukaa ndani ya gari? Nakumbuka miaka ya zamani ilikuwepo sijui sasa, hata kama haipo wewe binafsi haudhani kuwa ni jambo la hatari zaidi endapo Kivukoni kikipinduka? Au gari lako ndilo lilikuwa boya lako!
Abiria haruhusiwi kukaa kwenye gari mpaka gari itoke kwenye pantoni. Dereva uamuzi wako.
 
Anajifurahisha mkuu
All in all kila mtu ana level yake ya kuogopa Kuna watu wanaogopa hadi madudu washa......

Najua hayo maeneo hayaruhusiwi kupigwa picha.....

Izo situation zinatokea Sana najua next time hauto ogopa sanaaa.....
Japo haizoeleki Ila utakua umeanza kuzoea zoea......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom