Ukiangalia flow ya too much na hii hazna tofauti sana akiendelea hv walaji tutachokaDarasa sipendi style yake hii japo ndio inayomuingizia hela
Namkubali sana darasa ila usimlinganishe na Mondi
Ukiipata nitumie whatsappMwenye audio ya darasa atume hapa please...