Kwenye hi sanaa ya muziki huwa sija wai pata ukweri wa kina juu ya haya mambo
.Mutayalishaji alie changia hasa kuukuza muziki huo
.Mwimbaji alie wafungua wasanii wengine ku join revolution hiyo
.Mtu alie uvusha muziki wetu inje ya Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.