MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,612
- 21,346
Muziki ungekuwa uzuri, Feza Kessy angekuwa tajiri, neema za sheikh Kipozeo zipo. Tupa kule Dj Sinyorita..
Acha wivu wewembona huyu dada hana uzuri wwte
Nadhani huyu moyo wake umeenda halijojo kwa huyo binti maana kupenda ujingambona huyu dada hana uzuri wwte
Kipozeo anapenda waliojaazia huko nyuma.
Huyu nyuma hakujajaa aiseee
Naam mwinyi...hata "plate number" hakuna!Sikuziona zile neema za Allah hapo yakhee. Usituzingue, ka ni uzuri kajaliwa uso tu hata fenesi mbona limejaaliwa?
Mkuu wewe unapendaga wa aina gani??
Hamna kituMuziki ungekuwa uzuri, Feza Kessy angekuwa tajiri, neema za sheikh Kipozeo zipo. Tupa kule Dj Sinyorita..
Mkuu wewe unapendaga wa aina gani??
Jikeshupambona huyu dada hana uzuri wwte
Mkuu umenifurahisha ssaana..Nadhani huyu moyo wake umeenda halijojo kwa huyo binti maana kupenda ujinga