Muziki TZ: FM Academia Vs Twanga Nani Zaidi?

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- Haya wakuu, naomba kuwakilisha mada hapa je kati ya hizi bendi mbili ni ipi iko juu zaidi ya mwenziwe? Maana ukisikiliza sana nyimbo zao utakuta wanatupiana sana vijembe na taarabu nyingi sana za kichini chini, kwa wale washabiki wa muziki mnasemaje?

- Nawasilisha mada.

Wazee wa sauti ya umeme FMES!
 
Amigolas quits Twanga Pepeta

By Guardian Correspondent

Veteran vocalist Khamis Kayumba a.k.a `Amigolas` has quitted African Stars Band `Twanga Pepeta`.

Amigolas, who was the founder member of the band, said yesterday that he had decided to leave because he was gaining nothing from the band.

``I have three children who I need to prepare for a good future like sending them to good schools. In my 13 years that I stayed at Twanga Pepeta, I earned nothing. This is the right time I should move to look for something which will make them have good life,`` Amigolas said at the Guardian offices at Mikocheni in Dar es Salaam.

``I do not have any problem with either my band leaders or musicians. I haven\'t told my leaders about my decision because since I joined the band I never had any contract with them,`` he said, appealing to his fans to excuse him for making unexpected decision.

African Stars Entertainment Managing Director Baraka Msilwa when asked, said he had no information about the departure of the vocalist, what he new was that Amigolas was still with Twanga Pepeta.

``He performed with the band last Sunday,`` Msilwa said.

Amigolas started his music career at Bico Stars Band from 1991 before shifting to Chezimba Band in 1994. He later joined Twanga Pepeta in 1995. With Twanga Pepeta he composed `Aminata`.
 
FM Academia kwa sasa wapo juu... Twanga ilikuwa juu enzi za Banza Stone,Msafiri Diouf,Chokaraa,Chaz Baba,Lwiza Mbutu na wengine wakati Ally Choki akiwa hayupo... acha tu ...uongozi wa African Stars uliharibu sana kwa kumrudisha Ally Choki na kuwapeleka Msafiri Diouf na Banza Stone Africa Revolution "Chipolopolo" bendi yao ya pili... Wito wangu kwa Asha Baraka mrudishe Twanga Pepeta Banza kwa gharama yoyote...
 
Naamini Twanga watakuwa wanawashinda FM kwenye safu yao ya unenguaji tu, apart from that hamna kitu tena- wamekwisha siku hizi, naona kama wameishiwa tungo, wanaimba vitu visivyoeleweka, napenda kuwaangalia wacheza show wao tu, kwenye kunengua kwa kweli hawana mpinzani. Yani siku hizi wamechoka hadi hakuna kiingilio kwenye bonanza lao leaders na pamoja na kuwa ni bure, kumedorora kichizi.

Kitu kikubwa ninachowapendea FM ni safu yao ya waimbaji- Jose Mara, Pacho, Nyoshi, Pablo, King Blaise, etc. vyote hivi ni vipaji vya kutisha. Wakati vyombo vya Twanga vimechoka na kila ukiwasikiliza wakipiga live inakuwa kama ni makelele, FM ni tofauti kabisa, mtambo wao I think its the best in the country- ukiwasiliza live utadhani unasikiliza CD, very clear.

FM Academia, wazee wa mujini, wazee wa pamba, wazee wa blingbling- mambo yao iko juu ila wameudhi- si walipromise kuja huku UK hii easter? Mbona kimya?
 
Lazima Promota atakuwa ali-beep... Nadhani umeelewa Mkuu.

Nimeskia tetesi kuwa mgogoro ni hao wakongo ambao ni wengi kwenye kundi hilo, kuna hofu kwamba wakitia mguu hapa UK wataingia mitini na kuclaim asylum ndo mana visa inakuwa mgogoro.
Pia nahisi kwamba promota aliyetaka kuwaleta alidhani ni suala la kuwapandisha ndege tu waje wapige! Ametakiwa atoe financial proof kuwa ana uwezo wa kuwa accomodate jamaa kwa muda wote watakaokuwa huku na kulikuwa na kipengele cha matibabu ambacho jamaa alitakiwa ajicommit pia. Kwa hiyo financial issues za huyo sponsor zinaweza kuwa zimechangia, naambiwa hii trip haijafa bado, bado jamaa wanafight ili kuifanikisha.
Bado nalia tena na vyombo vyetu vya habari kwa uvivu wao, they were very quick kukimbilia kutangaza kuwa FM Academia wanakuja UK this easter, wengine tulishachukua na off kabisa makazini! Lakini hakuna hata media moja amabayo imebother kuwahoji hawa jamaa about whats going on na kutuhabarisha kama walivyofanya mwanzoni.
 
- Habari nilizozipata sasa ni kwamba hawa Wazee wa mujini, wamenyimwa viza na ofisi ya ubalozi wa UK iliyopo Nairobi, ni kwamba unapoomba viza ya UK maombi hupelekwa Nairobi na kuamuliwa huko, nimeambiwa kwamba tatizo ni lile lile kwamba hakuna guarantee kwamba wa-Congo watarudi,

- Na kwamba mara ya mwisho Twanga walipoenda UK, kulikuwa na mkongo mmoja ndani ya bendi yao aliyebaki, kumbe ubalozi wa UK huko Nairobi wanajua, ndio maana haikuwa taabu kuwakatalia hawa Wazee wa Mujini, ambao wengi ni hao hao Wakongo.

Poleni wakuu wangu wa London, maana hata mimi nilikiwa njiani kujimwaga huko, lakini noma sasa maana hata kuwapeleka hawa wazee US, itakua ndoto maana mategemeo yalikuwa kuwa wakipata kwenda UK, basi haitakuwa taabu kupata viza za US, nomaaa wakuuu wangu London.

Respect.

FMES!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom