Muwekezaji anatafutwa Mtwara

Mtwara Smart

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2019
Posts
668
Reaction score
1,510
TANGAZO TANGAZO TANGAZO

Anatafutwa muwekezaji kwa ajili ya kumuwekea nyumba kubwa ina aprtment mbili (Chumba Self, Sebule Jiko Kila Upande) tayari ina wapangaji

Kiasi Kinachotakiwa: Milioni 5

Marejesho: Milioni: 7.5

Muda: Miezi 8 (Hadi May 2027)

Nyumba inamilikiwa na mtu mmoja sio familia imekamilika mwenye nyumba ni mtumishi mtaandikishiana.

Kama Uko Interested Njoo DM.
 
Kumuwekea nini kwenye hiyo nyumba kubwa? Tiles au nini hujasema.
 
Sijui lugha gani hii umetumia,maana haileweki
 
Hayo ndiyo maneno yetu huku mtwara hapo mwenye uzi anamaanisha nyumba inawekwa bondi
 
Naona mtoa mada anatafuta mtu wa kumkopesha pesa kiasi cha 5m ambacho atakilipa ndani ya miezi 8 na pia atarejesha na riba ya Tsh 2.5m kwa kipindi chote atakacho atakaa na hela yako,yaani aterejesha jumla ya Tsh 7.5m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…