Muwe mnaacha dharau mabinti

Kwani wewe ukitoa nauli unapungukiwa nini? Alafu huwa mna uhakika gani huo utamu tunapata wote?
Hpo sasaa
mwingine unawez juta ata kwnni ulitumia nauli yako...ni heri tu waendelee kutuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…