Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,857
Unaendesha Benz......SL......halafu ukapiga shoo Ili ujipatie kipato........
jamani jamani jamani jamani jamani..............
Yaaani.....ngachoka kapsa
Unaendesha Benz......SL......halafu ukapiga shoo Ili ujipatie kipato........
jamani jamani jamani jamani jamani..............
wakati unamuambia monica i love u ure so sweet huku ukichojoa na milio ya ashhhhhhhh shiiii halafu ukamalizia na ujazo mhuuu ......huku umelegea ulitegemea ulikuwa unakojoa povu la sabuni?
Mwanzo wa story umesema mwaka mmoja uliopita
Mpaka sasa huyo demu si kashajifungua
Ahsante sana kwa kahawa na umepaki benz gheto
HARUFU
Wewe una Benz lakini huna geti mpaka monica anakuja kugonga mlango wa gheto??peleka huko chai yako
😂😂😂😂😂😂 umenimaliza kwa kucheka.dah!HARUFU