Muwe makini sana, yamenikuta

Muwe makini sana, yamenikuta

Mwaka mmoja uliopita ilinilazimu kufanya shoo ili nijipatie pesa. Nilipomaliza kupafomu nikiwa natoka ukumbini kuelekea nyumbani kumbe nyuma yangu kulikuwa na Mrembo akinifuatilia tokea nlipokuwa jukwaani mpaka nilipopaki mkoko wangu Mercedes Benz SL.

Nilishtuka sana nilipomuona Mlimwende nyuma yangu, na kwa jinsi alivyoumbika nilishindwa kabisa kujizuia nikajikuta namuuliza Mtoto, unaitwa nani? Na yeye bila kuchelewa akanijibu kwa sauti moja nyororo sana na yenye kuchombeza "Naitwa MONICA"

Sio siri Mtoto mrembo sana, amekamilika idara zote kuanzia juu hadi chini.

Nikamuambia panda kwenye gari twenzetu tukapate msosi, akaanza kuniambia "wewe HARUFU sukari ya warembo kwa jinsi ninavyokuzimika nilikuwa nashindwa kabisa namna ya kuwa nawe, kwa kweli leo ndoto zangu zimetimia".

Alipomaliza kuniambia maneno hayo matamu, Mchizi nikaona nafasi si ndio hii. Bila kuchelewa hapohapo nikaomba mchezo, Mlimbwende si akanitolea nje(akanikatalia) au kwa lugha nyingine naweza sema akanitosa, na kuanza kusema "yeye sio maharage ya Mbeya"

Mimi nikaona isiwe tabu, yote kheri. Ikabidi niwe mpole sikulazimisha penzi.

Wiki nzima ikapita bila ya yeye na mimi kufanya mawasiliano yoyote.

Mara bila kutegemea siku moja usiku akaniibukia Geto huku mimi nikiwa nimelala fo fo fo nikastukia mlango unagongwa(mtu anabisha hodi). Kwa kweli alinikata stimu zote za usingizi wangu.
Nikamfungulia mlango, unajua nini kilichofuata? Kwa kweli tulikula sana raha za Dunia.

Tulipomaliza nikamrudisha nyumbani kwao na nikamisisitiza siku inayofuata(kesho yake) anipigie simu.

Basi huwezi amini ni baada ya takribani mwezi mmoja kupita ndio akanipigia simu na kuanza kuniletea habari ambazo hazina kichwa wala miguu.

Eti madai yake ana ujauzito wangu.

Huu si uzushi jamani!

Inawezekanaje?
Huyo bibie si ajabu amekufuatilia muda mrefu sana na anataka kukuingiza kingi!

Mi yalinipata hayo miaka kadhaa iliyopita. Kuna bibie alinifuatilia sana anajua jina langu , ninapokaa hata ndugu zangu kwa ujumla.
Hata hivyo nilimpotezea kwa muda wa miaka zaidi ya minne, hadi siku alikuja omba, no, beg outing na mimi.
Kosa!

Outing na kanywaji kanalegeza springi!
Nikaishia kula uroda, ndomu alikataa katakata.
Na ukiwa maji kichwa nacho springi zimelegea.
Kwa kweli ilikuwa murua sana!

Tatizo baada ya miezi miwili akaja ksema nna uja uxito wako.
Nilishituka sana na nikaona naingizwa mjini. Hata hivyo machale yaliponicheza nikaona nisipanic.

Kwa vilekauwezo kalikuwapo nikamwambia, nikununulie ploti ujenge na utakuwa nyumba ndogo.
Alikubali lakini baadaye akakataa katakata, anataka kuhamia nyumbani kwangu, amtoe mamsapu.

Hilo valangati halikuwa dogo.
Ilibidi nijivue tai na nionane na ndugu zake kwa siri na tukayaongea.
Pochi ilitembea, baada ya miezi minne kumbe hata dalili za uja uzito hakuna kabisa.
Nikampa bintie vipande vyake, naye alinipakazia hadi kwa kasisi.

Hata hivyo nilishukuru kuwa shetani kaondoka hatimaye!!
 
Hongera sana kwa kumzidi nguvu shetani.

Maisha haya tunayoishi ujue kuna baadhi ya wanawake wao tamaa zimewajaa sana hasa pale wanapoona sehemu ina manufaa kwa upande wao.

Watafanya kila mbinu ya namna yoyote ile ili baadae waje wakuingize mkenge. Na nafasi inapotokea wako tayari wakubambikie, hata kama wewe si Baba halisi wa mtoto.

Tuweke unafiki pembeni, ujue kuna watu wengi wamebambikiwa na mpaka hivi sasa hapa tunapoongea bado wanaendelea kulea watoto ambao si wao(si wa kwao), na wala bado hawajastuka mpaka hivi sasa, na kuna wale ambao wanalea mpaka umauti unawachukua bila kufahamu walibambikiwa. Na mpaka mirathi watoto batili wanarithishwa.

Mimi hapa simlaumu Mtoto, wala Baba wa mtoto(wa kubambikiwa). Wa kulaumiwa ni Mama wa mtoto kwa tamaa zake, kwa kweli ni mbaya sana.

Hebu fikiria unalea Mtoto mpaka anakua, unasomesha, baadae unakuja kufahamu kuwa wewe si Baba halisi wa yule Mtoto unafikiri utajisikiaje?

Kwa kweli tamaa ni kitu kibaya sana, wanawake wa sampuli hiyo inabidi waache tamaa na wakubaliane na hali halisi ya maisha yao.

Usilazimishe eti tu kwasababu umeona mahala pana manufaa au panachumika, maisha si hivyo
 
Asante sana mkuu!
Huu mkasa nilikuhadithia ni wa kweli kabisa na ni mrefu sana.
Nimeukatiza tu kwa kusummarize.

Lakini kuna wanawake ni mashetani kabisa, na huyu alikuwa na nia ya kuniangamiza nisipomkubalia matakwa yake.
 
Kiongozi nafahamu, tamaa kitu kibaya sana. Pole sana ila ndio umejifunza na kama ujuavyo Maisha tunayoishi kila siku tunajifunza.

Na mimi nashukuru sana kwa kubadilishana mawili matatu na wewe.

Naweza sema wewe ni mmoja kati ya wachache sana walionielewa, na nakupongeza sana kwa kunielewa.

Mimi nilipoleta mkasa huu nilikuwa nina maana yangu kubwa na kwa lengo fulani, sema wengi wao hawakunielewa na matokeo yake mkasa huu niliouleta wakaupokea kwa hisia, au sijui ni kufuata mkumbo! Matokeo yake wakapotea kabisa, hii yote imedhihirisha na inaonesha watu wengi humu wanajifanya Fikra Pevu kumbe shombo tu.

Halafu haohao wanataka wapewe Urais, si ndio watakaotupelekea jahazi letu mrama.

Si umeona tulipoingia kwenye ukweli wote wametanua, unafikiri kwanini?

Basi inatosha, usiendelee.

Pamoja sana
 
Hii ya kushare experience ni muhimu sana.
Inaelekea wengi wa wachangiaji ni watoto wadogo hawajayaona maisha.
Hii ya Jidu na we Mkuu Harufu , mikasa hii ipo mingi sana mitaani na duniani kote.
Watu wanajikalia kimya na wanagumia tu kwa maumivu.
 
Hahahhahhahahhahahaha....jamaa story yako kashata sana....kama unapiga kumbe unafinya
 
Benzi geto inawezekana.
Kwani hamjaZikuta kwenye packing za ccm au mnafikili wana nyumba wale
Mwimbaji : lady jay dee
Wimbo: yahya
 
Hii ya kushare experience ni muhimu sana.
Inaelekea wengi wa wachangiaji ni watoto wadogo hawajayaona maisha.
Hii ya Jidu na we Mkuu Harufu , mikasa hii ipo mingi sana mitaani na duniani kote.
Watu wanajikalia kimya na wanagumia tu kwa maumivu.
Tukisema hebu wale Fikra Pevu piteni hapa mbele, wewe ni mmoja wao.

Ahsante sana kwa kunielewa.

Ubarikiwe sana
 
Ngoja mie nijipatie burudani, maisha yenyewe mafupi haya.

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom