MUWAZA na pongezi kwa BLW

OK....

Mie nilidhani Tanzania Bara wanazungumza kiswahili kama ni lugha yao ya pili, yaani sio mother tongue.

Kwani wewe huna lugha yako e.g kimasai?
Ninayo. Lakini vivyo hivyo nilijifunza Kiswahili sanifu kama vile nilivyojifunza Kiingereza sanifu.
 
OK....

Mie nilidhani Tanzania Bara wanazungumza kiswahili kama ni lugha yao ya pili, yaani sio mother tongue.

Kwani wewe huna lugha yako e.g kimasai?

Nahisi niweke irabu kidogo hapa,Tupo tunao zungumza kiswahili ,halafu (hafu) wapo wale wanao Ongea swahili.
 
Na baada ya kuyapata hayp yote, nini kinachofuatia kukidai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…