muwasho ukeni....

majogajo

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
317
44
wana JF tangu ni duu na mpenzi wangu analalamika anasikia muwasho ukeni, hata jana nimeduu nae lakini bado analalamika muwasho na anadai sometimes unaongezeka na sometimes unapungua. huu waweza ukawa ni ugonjwa gani na tiba yake nini? nisaidieni wana jamvi wenzangu.
 
je muasho pekee bila maumivu, akikojoa mkojo hauumi? Tumbo kwa chini linamuuma? Anatokwa uchafu na je wa rangi na muonekano upi?

Kwa kifupi hayo maswali yanahitaji majibu ili kuweza kujua ana tatizo gani

But by far vaginal candidiasis but fangas ukeni is more common common among women. So amuone daktari kwa vipimo na matibabu

Pole kwa maswahiba
 
je muasho pekee bila maumivu, akikojoa mkojo hauumi? Tumbo kwa chini linamuuma? Anatokwa uchafu na je wa rangi na muonekano upi? Kwa kifupi hayo maswali yanahitaji majibu ili kuweza kujua ana tatizo gani But by far vaginal candidiasis but fangas ukeni is more common common among women. So amuone daktari kwa vipimo na matibabu Pole kwa maswahiba
ok ntamuuliza zen ntakupa feedback.
 
Back
Top Bottom