muwasho sehemu za uzazi!

quverisa

New Member
Apr 23, 2011
1
0
naombeni msaada bha ndugu nasumbuliwa na tatizo kuwashwa sehemu za maumbile ya kijinsia. nimetumia dawa aina mbali mbali na hata kufika kutokuvaa nguo za ndani
lakini sipati suruhu, rafiki wa karibu yangu anaye nifahaamu vizuri ana dai labda ni kutoshiriki tendo la ngono cku nyingi lakini si dhani kama nin sababu! na ombeni msaada bha ndugu.

:help:
 
Mh! Pole, ila tendo la ndoa na muwasho wapi na wapi? Nenda hospitali achana na mambo ya kuambiwa.
 
may b una fangasi au infection ktk sehemu hizo. Na hilo tendo la ndoa unaloshauriwa pengine ndo chanzo . Pole, waone wataalam rafiki kama hali haijawa tete!
 
tena sio hospitali za uswaz bali za ukweli uonane na dokta ambaye ni bingwa au mzoefu. Usije ufanya ugonjwa kua sugu uanze kutafuta mchawi ndugu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom