Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,535
Baada ya wanandoa (mke na mume) kuishi
maisha ya ugomvi kwa muda mrefu, siku
moja mume akampiga sana mkewe, mkewe
kakimbilia kituo cha polisi mambo yakawa
hivi;
mke: Afande nimepigwa sana nusu kuzirai na
mume wangu
Afande: Kwanini akupige kiasi hicho?
Mke;(AKAMSINGIZIA MUMEWE) kwa sababu
nimejua anauza mdawa ya kulevya
Afande: Mume wako anauza madawa ya
kulevya??????
Mke: Ndio afande. nikawa namshauri aachane
na biashara hiyo ndio akanipiga
Afande:Twende nyumbani kwenu
tukamkamate
walipofika home wakamkuta jamaa kavimba
kwa hasira, plisi wakamkwida na kumpa
kisago mbele ya mkewe wakimtaka
awaoneshe yalipo madawa hayo, mambo
yakawa hivi
(MBELE YA MKEWE)
Afande: Tunajua unauza madawa ya kulevya
kweli c kweli?
mume: Kweli afande
Afande: Yako wapi hayo madawa?
Mume: Nauza lakini sikai nayo hapa
nyumbani
Afande:Yanakaa wapi?
Mume: Yanakaa kwa boss wangu afande
Afande: Boss wako ni nani
Mume: Ni baba mkwe wangu!!!!
MKE WAKE KAZIMIA......
TAKE CARE, WE ARE GENIOUS!!!!!!!
[HASHTAG]#The[/HASHTAG] Monk Who Sold His Ferrari
maisha ya ugomvi kwa muda mrefu, siku
moja mume akampiga sana mkewe, mkewe
kakimbilia kituo cha polisi mambo yakawa
hivi;
mke: Afande nimepigwa sana nusu kuzirai na
mume wangu
Afande: Kwanini akupige kiasi hicho?
Mke;(AKAMSINGIZIA MUMEWE) kwa sababu
nimejua anauza mdawa ya kulevya
Afande: Mume wako anauza madawa ya
kulevya??????
Mke: Ndio afande. nikawa namshauri aachane
na biashara hiyo ndio akanipiga
Afande:Twende nyumbani kwenu
tukamkamate
walipofika home wakamkuta jamaa kavimba
kwa hasira, plisi wakamkwida na kumpa
kisago mbele ya mkewe wakimtaka
awaoneshe yalipo madawa hayo, mambo
yakawa hivi
(MBELE YA MKEWE)
Afande: Tunajua unauza madawa ya kulevya
kweli c kweli?
mume: Kweli afande
Afande: Yako wapi hayo madawa?
Mume: Nauza lakini sikai nayo hapa
nyumbani
Afande:Yanakaa wapi?
Mume: Yanakaa kwa boss wangu afande
Afande: Boss wako ni nani
Mume: Ni baba mkwe wangu!!!!
MKE WAKE KAZIMIA......
TAKE CARE, WE ARE GENIOUS!!!!!!!
[HASHTAG]#The[/HASHTAG] Monk Who Sold His Ferrari