Muuza mayai. Inafundisha sana...

Muuza mayai. Inafundisha sana...

Hii ni story ambayo ni translated kutoka lugha nyingine,lakini ujumbe wake ni dhahiri kwa lugha zote.fanya hivi,kwenye shilingi 100000 weka dola 100,na kwenye shilingi 80000 weka dola 80,nadhani utaelewa ujumbe
Ahsante mkuu
 
Swali. Kama bill ilikuwa ni tsh 80,000 kwa nini alitoa 100,000? Lengo la kusema change ibaki lilitoka wapi wakati angeweza kutoa 80,000 tu na hamna note ya 100,000 ambayo sasa ingekatwa tsh 80,000 arudishiwe tsh 20,000? Hapo mi ndo sijaelewa kabisa.
Asante mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa nafadhaika sana!pale choka mbaya ananiuzia kitu halafu nikawa sina hela!!nataman niwe nayo ili nimridhishe tu!!
 
Hayo mambo tuyaweza sisi masikini unaenda genge au duka la jirani ununua kitu kumuunga mkono lakini kwa tajiri yeye anawasha gari kwenda mlimani city kwenda kununua bidhaa sawa hata gengeni au dukani angeipata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom