RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,041
- 510
Muuzaji mwingine mkuu wa madawa ya kulevya Mr. Halili amenaswa leo 'ready handed' akiwa anapokea mzigo wa Heroin wa kilo moja baada ya kumkamata mwanamtandao wake mmoja aliekuwa anaelekea kumkabidhi bos Halili, alianza kukamatwa punda kisha punda akatoa ushirikiano kwa polisi kumnasa huyo Hussein Mohamed Halil
Anaitwa Hussein Mohamed Halil alikamatwa saa moja na usiku kwenye kituo cha mafuta mitaa ya mbezi
Walikuwa wanaitwa halil mkubwa na halil mdogo,halil mdg ndy Hussein....aka waarabu wa dodoma