Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Mtu mmoja anashikiliwa na polisi baada ya Kukamatwa akipokea Madawa yenye thamani ya Rand Milioni 6 zaidi ya Tshs Milion 900 na ushehe.
Mtu huyo ambae jina linahifadhiwa amekamatwa muda mchache uliopita baada bya maafisa wa usalama wa uwanja wa ndege Jijini Johannesburg wakishirikiana na SARS kubaini begi lililokuwa na madawa hayo kisha kuweka mtego ili kumkamata mtu ambaye ametumiwa mzigo huo Kutoka jijini Dar es salaam Tanzania.
Baada ya muda alitokea mtu mmoja na kusema kuwa amekuja kuchukua mzigo wake kutoka bongo ndipo wakamuweka chini ya ulinzi.
Watanzania wenzangu Mambo haya yanatuharibia taswira ya nchi yetu na yanatupa tabu sisi tunaoushi nchi za watu kwa maana tunaonekana sote ndo kazi zetu hizo na hata ukisafiri basi mtanzania huangaliwa kwa jicho la 3 kwasababu hatuaminiki tena.
Bora kidogo chenye neema kuliko kikubwa chenye matatizo na mabalaa tele.
There is no easy money,tumia jasho lako kufanya kazi.