Pandamlima
Senior Member
- Feb 27, 2013
- 143
- 13
Wadau nahitaji muuza duka la dawa,,,,awe na cheti cha nursing hata kama ni assistant na cheti cha tfda ( cha tfda ni lazima) na atleast awe na cheti cha form four pia
duka lipo kigamboni, kama ni mkazi wa huko its an added advantage
mwenye kuhitaji ani pm
asante
duka lipo kigamboni, kama ni mkazi wa huko its an added advantage
mwenye kuhitaji ani pm
asante