NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,869
- 5,170
Muugwana BLOG naipenda sana Blog yenu maana ina vichwa vya habari na unasoma habari fupi fupi unajua mambo mengi kwa mara moja.Ila mna tatizo moja tu.Mnakoseaga sana kuandika misamiati au spelling za Kiswahili mpaka mtu unaweza ingiwa shaka na ukweli wa jambo lenyewe kuwa ni la kweli au ni kanyaboya jirekebisheni