Sipendi Ubepari
JF-Expert Member
- Jan 12, 2012
- 249
- 40
Hilo laweza kuwa 2nd option baada ya serikali3.
Selikali moja ndiyo suluhisho.
Selikali moja ndiyo suluhisho.
Hujajibu swali na kama umejibu basi kuna vitu huvijui.
Moja ya mambo ya muungano ni ushirikiano wa kimataifa. Sasa ZNZ inataka kiti UN, hilo unasemaje nalo ni la muungano tena ikifika hapo.
Ulinzi na usalama: Gharama za jeshi zinalipwa na Tanganyika 100, bajeti ya jeshi ni zaidi ya bajeti ya ZNZ, sasa ZNZ itachangia nini?
Hilo la wabunge ni dogo sana, angalia mambo kwa upana. Bajeti ya ZNZ ni bilioni 600, pungufu kuliko bajeti ya afya ya muungano. ZNZ ikitaka muungano huo haitakuwa na cha kuchangia kwasababu bajeti yake hairuhusu kutoa hata senti tano, infact haina bajeti yake ina bajeti kutokana hazina Dar! kuanzia msihahara ya wafanyakazi hadi vibili vya umeme.
Fikiria kidogo, bilioni 50 ZNZ haiwezi kulipa, itapata wapi bilioni 400 za ulinzi na usalama! c'mon think about it.
Hii thread yako nakushauri uifunge, ni too low ndugu yangu! ninakusaidia sikukashifu.
Serikali 3 ni bora sana kwa sababu zifuatazo:
(i) Ni muarobaini wa malalamiko ya kuonewa au kumezwa;
(ii) Ni balance nzuri ya uwiano serikalini - 50 kwa 50 katika uwakilishi na gharama;
(iii) Hujuma za kuingiliana ktk chaguzi na kulazimisha chama kimoja kiongoze pande zote mbili zitadhibitiwa kirahisi;
(iv) Hoja ya muunda wa serikali kuwa sera za vyama tutakuwa tumeimaliza;
(v) Gharama za uendeshaji zitapungua kwa zaidi ya 50%. Mfano mmoja, serikali ya Muungano (serikali 2) kwa sasa (siyo SMZ) inalipa wabunge zaidi ya 80 wa Zanzibar (yenye wapigakura pungufu ya laki 4 na 50 na ukubwa sawa na wilaya ya Sengerema). Kila mbunge akilipwa milioni 11 kwa mwezi (11x80) sawasawa na milioni mia 8 na 80. Muundo wa serikali 3 tutakuwa na wabunge 30 au 40 (15 au 20 toka kila upande kufanya kazi za muungano wakigharamiwa na pande zote 2) na wabunge Serikali ya Tanganyika wapatao 150. Huu ni mzigo mwepesi kwa walipa kodi wote. SERIKALI MBILI NI MZIGO!!!!!
we ni mjinga tanganyika tuko mil zaidi ya 40 zanzibar wapo zaiidi ya mil 3 sasa ukisema tugawane 50/50 ni sawa......
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono. Muungano ulioshinikizwa na Nyerere na Karume usio na faida kwa pande zote, sioni sababu ya kuwepo.
Kabisa Mkuu. Utatupunguzia karibu wabunge 80 waliokuwa wanaingia Bungeni kwa sababu tu ya dini yao. Uwiano wa kidini tunaoutaka kila mahali utakuwa imara sana katika jumba letu la kutunga sheria.
hayo mambo ya serikali tatu .,nne,moja au mbili sasa tumeshayachoka na hayatuhusu.Serikali 3 ni bora sana kwa sababu zifuatazo:
(i) Ni muarobaini wa malalamiko ya kuonewa au kumezwa;
(ii) Ni balance nzuri ya uwiano serikalini - 50 kwa 50 katika uwakilishi na gharama;
(iii) Hujuma za kuingiliana ktk chaguzi na kulazimisha chama kimoja kiongoze pande zote mbili zitadhibitiwa kirahisi;
(iv) Hoja ya muunda wa serikali kuwa sera za vyama tutakuwa tumeimaliza;
(v) Gharama za uendeshaji zitapungua kwa zaidi ya 50%. Mfano mmoja, serikali ya Muungano (serikali 2) kwa sasa (siyo SMZ) inalipa wabunge zaidi ya 80 wa Zanzibar (yenye wapigakura pungufu ya laki 4 na 50 na ukubwa sawa na wilaya ya Sengerema). Kila mbunge akilipwa milioni 11 kwa mwezi (11x80) sawasawa na milioni mia 8 na 80. Muundo wa serikali 3 tutakuwa na wabunge 30 au 40 (15 au 20 toka kila upande kufanya kazi za muungano wakigharamiwa na pande zote 2) na wabunge Serikali ya Tanganyika wapatao 150. Huu ni mzigo mwepesi kwa walipa kodi wote. SERIKALI MBILI NI MZIGO!!!!!
Bajeti ya ZNZ ni bilioni 600, ni ndogo kuliko bajeti ya elimu ya Tanganyika. Sasa 50/50 hawa watatoa nini?50% kwa 50% ktk muungano wa Serikali tatu ndo sahihi kwa7bu itatupunguzia gharama bara na itaongeza Uhuru wa Znz kujiendesha na kujiamulia mambo yake yenyewe hivyo kupunguza hasira za makundi kama uamsho.
enyi wajinga na wapumbavu msituletee serikali tatu mpango mzima ni serikali moja. Waachieni wale wanaojifanya waarab nchi yao tuone kama itakuwa kama Peponi.
Bajeti ya ZNZ ni bilioni 600, ni ndogo kuliko bajeti ya elimu ya Tanganyika. Sasa 50/50 hawa watatoa nini?
Jiulize kwanini wameacha hoja ya kuvunja muungano wamekomalia serikali 3 au mkataba, wanajua kuwa asilimia 60 ya shuguli za serikali yao zinatoka Tanganyika. Fungueni macho Watanganyika, hapa ni kuliwa tu halafu mnatukanwa na kuchomwa moto.
Jiulize, hivi wewe Mtanganyika unataka muungano wa nini, ukusaidie nini? Hawa wanapenda pesa yako wewe kwao ni Kafir tu.
Waacheni waende zao, kwanini hamuioni mbali zaidi ya pua zenu Watanganyika?
Mkuu wa chuo.enyi wajinga na wapumbavu msituletee serikali tatu mpango mzima ni serikali moja. Waachieni wale wanaojifanya waarab nchi yao tuone kama itakuwa kama Peponi.
Hakuna faida hata moja ya serikali tatu! Je ni kitu gani ambacho Tanzania itafaidika na serikali tatu!. Kwasasa Zanzibar ina baraza lake la mawaziri, mawaziri walio kwenye serikali ya Tanzania wakilishi kwenye bunge la Zanzibar, wana bunge lao , makamu wa raisi katokea Zanzibar sasa je kama kwasasa wanasema wanaonewa na walivyonavyo havitoshi srikali tatu itatoa nini cha kuwatosheleza? Zanzibar ni alisimia 10% tu ya Watanzania je ni kwanini wawe na haki tofauti na Watanzania wengine na waseme wanaonewa. Solution ya muungano ni mbili tu (1) Serilaki moja tu ya Tanzania na Watanzania wasio na mipaka (2) Serikali mbili zinazo jitegemea ambazo zina mahusiano ya kijeshi na kiusalama. Hizi serikali tatu nne, mbili hazitasaidia maana Wanzanzibar hawatafikia sehemu ya kuacha kulalamika kuhusu muungano yakiisha haya yatakuja mengine!
hayo mambo ya serikali tatu .,nne,moja au mbili sasa tumeshayachoka na hayatuhusu.