Utumwa hakuna Zenjibari ulikomeshwa kitambo na utwana tuliumaliza kwa mapinduzi ya 1964, yaliyopo sasa yanazungumzika, tukae na ndugu zetu na watani wetu tuyajenge.
WAO WANATUHITAJI NASI PIA HALIKADHALIKA.
UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU, UDUMU MUUNGANO WETU.
gavana naona unavita naukristu lkn hiyo kupitia JF haiwezekani, hata tukiondoa ukristu, hao hao boko haram wanawaua akina nani huko kaskazini mwa nigeria? kukaa nyuma ya key board kuwatetea waarabu wa sudani siyo sawa, wakusini waliwavumilia hadi uvumilivu ukafika kikomo wakachukua hatua ww uko nanjilinji huwezi jua.Hapo ndio pa kujiuliza iikwa nyinyi wenyewe hamjiwezi inakuwaje kuwasaidia masikini tena vijinchi vinavyoingia zaidi ya mara elfu 10 Tanganyika???
Sudani ilikuwa kila siku waislamu waarabu wanawafanya watumwa watu wa kusini hata humu JF ilikuwa ndio hatupumui
Sasa wakristo wamepewa hiyo nchi , unaona mwenyewe matumnda ya ukristo
Kuna rasilimali ambazo hazipo direct kama vile gas au mafuta, Zanzibar peke yake ni rasilimali, watu pia rasilimali, sasa mkuu kwa nini Hamtaki kupunguza mambo ya Muungano na kila siku mnazidisha?jiulize zaidi rasilimali gani zinazoibiwa na tanganyika kutoka zenji? wakati wenye nguvu wakiungana nyie viinchi maskini viongozi wenu wanafikiria kupata heshima za kiongozi mkuu na hapo ndipo wazo lakujitenga linapoanzia kesho akitishiwa kuwa makamu wake anataka kumpindua ndiyo shida ya sudani inapokuja hakuna ukristo au uislamu hapo.
Ukienda Canada wapo wazanzibari, UK wapo, UAE wapo, wote hao wamekeza biashara kubwa kubwa baadhi ya nchi na wapo walio ajiriwa, asikwambie mtu, mtu kwao, na leo hii wanatamani Muungano uvunjike, sijui hao walipo Dar, maisha yenyewe ya kutumbuanaWanzanzibari waache kujidanganya wanaotaka Muungano huu ufe ni wale choka mbaya tu, ila wasomi wote wanataka uendelee
Kwa taarifa yenu huku bara kuna wanzanzibari wengi mno wameajiriwa wakati serikali yenu haiajiri watu kutoka bara
Huku bara kuna wenzenu wenigi wenye ardhi kubwa wakati kwenu hamruhusu hilo la kumiliki ardhi
Huku bara kuna wenzenu wengi wameoa wanawake wetu ila huko kwenu kuoa ni SHIDA udini umewajaaa(huku kuna familia baba muislam, mama mkristo na wanaishi vizur)
Mnadanganywa mtakua DUBAI/HON-KONG achane akili za kijinga hizo, hamna ardhi ya kua hayo majiji nyie
Namfundisha gvn maana vita ya Kiroho na vita ya nyama [emoji4] muonye gvn asirudie tena [emoji15] [emoji4]Unauharibu Uzi huu uzi unahusu mambo ya muungano.
Nadhani atakuwa ameshakuelewa.Namfundisha gvn maana vita ya Kiroho na vita ya nyama [emoji4] muonye gvn asirudie tena [emoji15] [emoji4]
Akija kihovyo sina namna[emoji4]Nadhani atakuwa ameshakuelewa.
kwa hiyo unataka uhusiano wa tanganyika na zanzibar uwe kama wa tanganyika na kenya?Kuna rasilimali ambazo hazipo direct kama vile gas au mafuta, Zanzibar peke yake ni rasilimali, watu pia rasilimali, sasa mkuu kwa nini Hamtaki kupunguza mambo ya Muungano na kila siku mnazidisha?
Sarafu - kwa nini Hamtaki Zanzibar iwe na sarafu yake? Kwa maana mnafaidika.
Michezo - kwa nini mnatumia jina la tánzania katika michezo kimataifa? Kwa maana mnafaidika na kuifunika Zanzibar.
Mikopo - kwa nini Hamtaki suala la mikopo kuwa nje ya Muungano? Kwa maana mnafaidika.
Uhamiaji - uraia--kwa nini Hamtaki Zanzibar iwe na uraia wake, ili kulinda ardhi yake ihali mnajua eneo dogo kama mnavyo sema? Mnafaidika
Anga - kwa nini Hamtaki Zanzibar iwe inaongoza wizara hii nje ya Muungano? Mnafaidika tu.
Ulinzi na usalama - kwa nini Hamtaki kuondoa kwenye orodha ya mambo ya Muungano? Mnasema hatuchangii, Zanzibar kuna zaidi ya 6000 jeshi na usalama kutoka tanganyika, mnafaidika.
Police - kwa nini Hamtaki Zanzibar iwe na police yake, badala ya kung'ania kuwa muungano? Mnafaidika.
Wazanzibar wanautaka Muungano lakini sio huu wa kinyonyaji, hao wajitao viongozi wanao sema unatusaidia ni wanafiki, mbona Wazanzibar wanalalamika? Kama asilimia 89 za maoni ya katiba nakukumbusha, tulitaka Muungano wa mkataba. [emoji111]
community ni sawa na union,lbd sielewi.Kama east Africa community.
kwa hiyo unataka uhusiano wa tanganyika na zanzibar uwe kama wa tanganyika na kenya?
Mtaani wamejaa akina choloo na babu ally wote wauza maduka hakuna mpemba mwekezaji
Nakupa tu kidgo sitaki ningie ndani sana ni kwamba Zanzibar is Tanganyika territory na Zanzibar haitakaa ijitenge from Tanganyika the main reason ni security tu.Karume aliposema koti likikubana unalivua akauliwa..Jumbe akafungiwa miaka yote Mjimwema...Maalim Seif akawekwa kizuizini....Wahenga tunataka kujua kuna siri gani Zanzibar mpaka Tanganyika wako tayari kupeleka jeshi kuwatishia...
Nakupa tu kidgo sitaki ningie ndani sana ni kwamba Zanzibar is Tanganyika territory na Zanzibar haitakaa ijitenge from Tanganyika the main reason ni security tu.
Mapacha wanazaliwa wakiwa wameungana lakini wewe bado unapalilia utengano.hii ni hasara sanaZanzibar kuwa full membership united nation
Zanzibar kuwa na mabalozi wake all over the world
Zanzibar kuwa member wa Fifa
Zanzibar kuwa member wa Caf
Zanzibar kuwa member wa OIC
Zanzibar kuwa na passport yake
Zanzibar kuwa member wa East Africa community(EAC)
Zanzibar kuwa na nyanja nzuri za kiuchumi, kimataifa na kitaifa bila ya vikwazo.
Zanzibar kuwa na sarafu yake.
Zanzibar kuwa na wizara yake ya elimu,
Zanzibar kuwa na wizara ya Anga
Zanzibar kuwa na bank kuu.
Zanzibar kuwa na jeshi lake coast guard
Zanzibar kuwa na jeshi la polisi lake
Zanzibar kuwa na usalama wa taifa
Zanzibar kuwa free port, kama dubai.
Zanzibar kuwa member wa AU
Wizara hizi zote zina ajira zaidi ya 10,000 ni faida kwa wazanzibari.
Kwa upande wa Tanganyika, nahisi kuwa watatumia jina la Tanzania [emoji1241].
Watatumia influence ile ile ya Jamuhuri ya Muungano na Jamuhuri ya Tanzania au tanganyika, ni kubadili kidogo tu.
Siwezi kusubiri case ya Muungano kuja kusikilizwa huku Zanzibar, kwa maana nina kila sababu ya kuunga mkono, faida ni nyingi kwa Wazanzibar kuliko hasara.
InshaAllah
Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika unawanufisha wachumia tumbo wachache kutoka Zanzibar kwa hasara ya mamilioni ya waZanzibar wanaokosa fursa nyingi za kiuchumi kwa sababu ya huu muungano wa kiquma.Zanzibar kuwa full membership united nation
Zanzibar kuwa na mabalozi wake all over the world
Zanzibar kuwa member wa Fifa
Zanzibar kuwa member wa Caf
Zanzibar kuwa member wa OIC
Zanzibar kuwa na passport yake
Zanzibar kuwa member wa East Africa community(EAC)
Zanzibar kuwa na nyanja nzuri za kiuchumi, kimataifa na kitaifa bila ya vikwazo.
Zanzibar kuwa na sarafu yake.
Zanzibar kuwa na wizara yake ya elimu,
Zanzibar kuwa na wizara ya Anga
Zanzibar kuwa na bank kuu.
Zanzibar kuwa na jeshi lake coast guard
Zanzibar kuwa na jeshi la polisi lake
Zanzibar kuwa na usalama wa taifa
Zanzibar kuwa free port, kama dubai.
Zanzibar kuwa member wa AU
Wizara hizi zote zina ajira zaidi ya 10,000 ni faida kwa wazanzibari.
Kwa upande wa Tanganyika, nahisi kuwa watatumia jina la Tanzania [emoji1241].
Watatumia influence ile ile ya Jamuhuri ya Muungano na Jamuhuri ya Tanzania au tanganyika, ni kubadili kidogo tu.
Siwezi kusubiri case ya Muungano kuja kusikilizwa huku Zanzibar, kwa maana nina kila sababu ya kuunga mkono, faida ni nyingi kwa Wazanzibar kuliko hasara.
InshaAllah
Hekima yake nini [emoji54] [emoji15] unaokota mistari unatuwekea tu[emoji15]'>Exodus 30:18-21
"You shall also make a laver of bronze, with its base of bronze, for washing; and you shall put it between the tent of meeting and the altar, and you shall put water in it. "Aaron and his sons shall wash their hands and their feet from it; when they enter the tent of meeting, they shall wash with water, so that they will not die; or when they approach the altar to minister, by offering up in smoke a fire sacrifice to the LORD. read more.
"So they shall wash their hands and their feet, so that they will not die; and it shall be a perpetual statute for them, for Aaron and his descendants throughout their generations."
'>Exodus 40:30-31
He placed the laver between the tent of meeting and the altar and put water in it for washing. From it Moses and Aaron and his sons washed their hands and their feet.